Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yan jana usiku nikakua Rice deal lishakamilika kwenda City kumbe ishu bado mbichi kabisa
Hadi muda huu city hajaweka dau lolote mezani

Tier 1 kwa habari za Westham , ExWh kwenye mtandao wake wa Petron ambao unalipia £5 kusoma amesema bado hakuna bid yoyote
 
West Ham are bracing themselves for Arsenal’s third bid for Declan Rice, a £100m offer which they believe is now IMMINENT. Reports,

@SamiMokbel81_DM.
 
Di marzio anawatia presha Arsenal fans tu toka Jana ,wakati kina Fabrizio , Ornstein wapo kimya
 
Kwa habari za Rice toka hii saga imeanza SamiMokbel81_DM tu ndio anatoa update za uhakika

I wish siku Moja aondoke The Mail ,aende The Telegraph akaungane na kina SamJDean, Matt D Law , au The Athletic akaungane na kina David Ornstein
 
Maswali yakujiuliza kwanini Hadi Sasa City hajaweka dau mezani?

David Ornstein Jana alisema Jana hiyo hiyo city wangeweka Bid mezani

Manchester City expected to submit an offer to West Ham for Declan Rice today. #MCFC have serious interest in recruiting 24yo England midfielder + it is anticipated a formal bid will be lodged soon to rival Arsenal for signing

@TheAthleticFC #WHUFC #AFC
 
️ | TRANSFERS: Arsenal’s latest bid to seal Rice transfer.

: Daily Mail (@DailyMailUK) journalist Sami Mokbel has confirmed that Arsenal are set to launch their third bid for Declan Rice imminently.

@SamiMokbel81_DM: “West Ham believe Arsenal's third offer for their captain Declan Rice is imminent amid hope the transfer saga is reaching its conclusion.”

The deal is set to be around the £100m mark with all parties now expecting to resolve this transfer. Player has his heart set on the Gunners, looks like deal is on the verge of completion. 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 #AFC #Transfers #WHUFC #Rice
 
City Hadi Sasa hajatuma hiyo ofa

Media zime drive Sana Jana

Hasa Di marzio , media za UK zikamkana ,

Anasema Rice anakaribia mancity ,

Bila ku submit bid ,bila kumalizana personal term
Upo sayari gani
Screenshot_20230623-231909_Facebook.jpg
 
️ | TRANSFERS: Arsenal’s latest bid to seal Rice transfer.

: Daily Mail (@DailyMailUK) journalist Sami Mokbel has confirmed that Arsenal are set to launch their third bid for Declan Rice imminently.

@SamiMokbel81_DM: “West Ham believe Arsenal's third offer for their captain Declan Rice is imminent amid hope the transfer saga is reaching its conclusion.”

The deal is set to be around the £100m mark with all parties now expecting to resolve this transfer. Player has his heart set on the Gunners, looks like deal is on the verge of completion. 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 #AFC #Transfers #WHUFC #Rice
Hii ngoma kesho jumamos hadi kufika saa 2 usiku kwa saa zetu za bongo tutajua muafaka.
 
Kaka hv siti inaweza kushindwa katika kusajili mchezaji ambae nao wanamtaka kweli kweli?
Kwa habari za Rice toka hii saga imeanza SamiMokbel81_DM tu ndio anatoa update za uhakika

I wish siku Moja aondoke The Mail ,aende The Telegraph akaungane na kina SamJDean, Matt D Law , au The Athletic akaungane na kina David Ornstein
Kuna mwamba anajiita ExWHUemployee anapiga Exclusive za utosi kwenye hili dili wengine wote wanasubiri.
 
Ila city nao waroho sana,anataka kuigeuza EPL kuwa farmer's league kwa kuchukua cream yote?
Una Phillips,Kovacic,Rodri,Stones na bado unamtaka Rice!
City kwa namna flani wameanza kuwa na ile mentality ya Bayern pale ujerumani au Psg kule ufaransa.
 
Mtaalam Lembu tunakusikiliza na asante kwa kufuatilia mpira na sio team. ::::
Arsenal are preparing their second bid for Jurrien Timber. Expectation’s to be submitted soon — crucial step after green light from the player. #AFC

Arteta has already approved Timber as priority target for this window.
Mimi huwa kuna wakati nakuwa shabiki na nikitoa maoni natoa kama shabiki
Wakati mwingine nakuwa mchambuzi na nikitoa maoni nakuwa kama mchambuzi
Zote hizo mbili ndizo zinazoleta raha kwenye football
 
Man city haja submit bid yoyote ,

Ninawajua most journalists reliable na wakawaida ,

Anayesambaza hizo habari Ni Di marzio peke yake

Fabrizio Romano anasema hivi asubuhi hii

Arsenal have confirmed to West Ham their plan to submit one more bid for Declan Rice — after £75m plus £15m rejected. #AFC

Understand Manchester City are also preparing their official bid — plan has not changed. #MCFC

Structure of deal/payment terms, key for West Ham.
 
Hii ngoma kesho jumamos hadi kufika saa 2 usiku kwa saa zetu za bongo tutajua muafaka.
Upo sahihi Kaka ,kuanzia leo itajulikana

Had Sasa mancity hajatuma ofa yoyote why?

David ornstein,Romano, Sami Mokbel, Hadi ExWh ,na reliable zote zilisema Alhamis ,city atatuma ofa Jana ijumaa mapema ,yamepita masaa zaidi ya 40+ ,

Di marzio ndiye kaibuka na kusema City wanakaribia kumaliza dili , UK media zikakaa kimya,na zilipoongea zilisema hakuna kitu Kama hicho ,

Jana EXC. zinasema ofa ya 3 ya Arsenal ipo njian

Maswali yangu Ni Kuna Nini kinaendelea

Je Westham wanamtumia City wapate pesa nzuri

Je Rice hajawapa assurance city Hadi Sasa hawaja bid?

Je mbona upande wa Arsenal mbona hauna presha na hizi habari kuwa city anapanda na dau ,ndio kwanza Edu anapiga pombe
 
Kuna mwamba anajiita ExWHUemployee anapiga Exclusive za utosi kwenye hili dili wengine wote wanasubiri.
Huyu Ni reliable kwa habari za Westham za ndani kabisa

Ana website yake Petron unalipia £5

Humo anakupa habari za ndan kabisa

Hadi Jana jion alisema Hakuna ofa yoyote ukiacha zile mbili za Arsenal

Alisema Rice ana prefer kwenda Arsenal ,Ni swala la Arsenal ku meet pesa inayotakiwa na Westham
 
️ | TRANSFER ROUND-UP (24/06/2023)

Good Morning Gooners,

󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 DECLAN RICE

  • Arsenal are set to make a third bid for Declan Rice with this one believed to be close to West Ham’s £100m valuation.
  • Man City also readying a bid, which could complicate things.
  • Player’s intentions have always been clear: He wants Arsenal.
  • A resolution on this one is a lot closer then people think.

KAI HAVERTZ

  • Kai Havertz deal is 100% done. Paperwork processed. No worries
  • Deal will be announced on Monday or Tuesday. All depends on when the announcement video.
  • Havertz was clear that he only wanted Arsenal move after talks with Arteta.
  • Medical will take place in Spain ove the weekend, Arsenal doctor Gary O’Driscoll has been spotted in Malaga.

Jurrien Timber

  • Reports in the Netherlands have been claiming that Arsenal and Ajax have come to terms over the sale of Jurrien Timber.
  • We have it on good authority that the deal will be concluded for £38m.
  • Player has only wanted Arsenal move following secret talks earlier this month.

#AFC #Transfers #Ajax #Havertz #WHUFC #Rice
 
Key points on Declan Rice deal,

  • Arsenal 'could be forced to bid over £100m' and are 'ready to make a third bid'.
  • Mikel Arteta sees Rice 'as a leader' and 'believes he has convinced' him to join #AFC.
  • No #MCFC bid yet.
  • 'Will also bid £40m for Romeo Lavia'.
 
According to Transfermarket

Now Arsenal imepanda had nafasi ya 2 ya Most Valuable teams in the World

IMG_20230624_081605.jpg
 
Man city haja submit bid yoyote ,

Ninawajua most journalists reliable na wakawaida ,

Anayesambaza hizo habari Ni Di marzio peke yake

Fabrizio Romano anasema hivi asubuhi hii

Arsenal have confirmed to West Ham their plan to submit one more bid for Declan Rice — after £75m plus £15m rejected. #AFC

Understand Manchester City are also preparing their official bid — plan has not changed. #MCFC

Structure of deal/payment terms, key for West Ham.
Man city wanawafanya muingie mkenge. PEP hatakubali mchezaji wa mil 100 kwenda juu. Itamharibia dressing room
 
Edu bado anahitaji uzoefu kwenye deals za kugombania

Ninemkumbuka David Dein alimletea Wenger wachezaji wazuri alipowahitaji

David Dein alipoondoka 2005 , Wenger alikosa wachezaji wengi Sana

Don Raul Sanheil hili dili la Rice angeshamaliza muda mrefu , alishafanya umafia kwenye deals nyingi ikiwepo ya Neymar kutoka Santos kwenda Barcelona ,deals kibao ngumu alizimaliza

Alipokuja Arsenal , aliingia kwenye Vita ya kumgombania Pepe ,akipambana na Liverpool,Bayern ,PSG ,Napoli , huku Arsenal tukiwa hatuchez UCL, media zote kina Fabrizio, Ornstein walisema Arsenal hawez kutoboa ,pesa Ni nyingi Sana

Mwisho Raul alimtumia Mendes , akahonga kambi ya pepe , akambeba kwa €80m ,

Shida yake hakutaka Arteta awe Manager alitaka abaki Head coach tu

Edu anatakiwa kuwa ruthless kwenye dili Kama hii ya Rice

Arteta anahitaji resources kupambana na City
 
Man city wanawafanya muingie mkenge. PEP hatakubali mchezaji wa mil 100 kwenda juu. Itamharibia dressing room
Naona kitu hicho ,na mshindi ni Westham atapata anachokitaka

Pia Kuna Kama kuviziana Nan atangulie kutuma ofa ili uone mapungufu ya ofa ya mwenzio, upandie kwa juu kwa kuiboresha
 
Back
Top Bottom