HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Wewe Ni chizi hata wenzio kule jukwaa la Chelsea wanakuchukuliaga chizi ,
Timber alikuwa anatakiwa na Bayern , manjesta na Liverpool
Na Plettigoal Ni muandishi wa. Habari za Bayern Munich anafanya kazi Sky sport German ,ndiye alianza kuripoti , Timber hataki kwenda Bayern na sababu aliziweka
Timber alialikwa na Ten hag mech ya FA cup juz hapa
Ndio maana wanakuchukulia chizi , Wanaosema ameamua kwenda Arsenal sio Mimi ,unakuja unaniparamia Mimi
Nakupiga ignore
Hamisi relax mkuu, ushabiki wa mpira una mambo mengi. Mashabiki wengine ushabiki unanoga pale wanapomshambulia shabiki wa timu ingine. Wengine ushabiki unanoga pale wanapomkosoa kocha wa timu ingine...muhimu wewe nenda nao tu hivyo hivyo.