Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Claret & Hugh (West Ham website):

“West Ham have admitted for the first time that Manchester City have definitely come in for Declan Rice. However, it seems that the player is looking certain to snub any move to the Etihad in favour of crossing London to Arsenal.” #afc
IMG_20230624_112200.jpg
 
Tunaenda masaa 48 Sasa

According to Fabrizio alisema City watatuma bid iwapo watapata baraka zote kutoka kambi ya Rice

Maswali yangu ,toka alhamisi usiku Hadi Sasa hakuna any bid

Nini kinaendelea?

1.Je kunauviziana Nani awe wa kwanza kupeleka ili kusoma madhaifu ya ofa ya mwenzako(hii iltokea kwa mudrky , Chelsea waliangalia madhaifu ya ofa ya Arsenal ingawa zote zilikuwa sawa )

2.Au City wamekosa baraka kutoka kambi ya mchezaji?

3.Westham wanacheza uhuni kupata pesa ndefu ,maana walimualika had manjesta ajitose , bahat mbaya manjesta ana pesa za madafu ofa yake Ni £40m + magwaya+ elanga

Had kesho Itajulikana
 
Man u walianza kununua wachezaji kwa bei mbaya. Wakaharibu dressing room na performance
Wakafuata Chelsea wakaharibu dressing tukahatibu performance na sasa tunajitahidi kufagia
Arsenal Next. Mnanunua wachezaji bei ghali na kuwapa mishahata mikubwa bila sababu kitakachofuata ni manung'uniko dressing room halafu kiharibu morale ya wengine na kushika kwa performance. Kwa mchezo gani Havertz anastahiki paundi 200k kwa wiki?
Tusubiri tuone, ya Mungu mengi

ila Ben chilwel,David Fofana na Wesley Fofana wao wanastahiki kulipwa 200k Kwa week hapo Chelsea mkuu?

Kama Kai Chelsea alikuwa analipwa 150k per week unategemea angeenda team ingine alipwe chini ya hiyo au the same au lazima itapanda?
 
Chakushangaza mnamtosa Partey na kumbakiza Jorginho. Soŕy Rice ni mzuri ila bei ni kubwa. Atakuwa na mzigo wa deni kubwa mabegani mwake. Sio wote wenye price tag kubwa wanaweza kuhimili na kucheza vizuri. Wengi wanaflop
Kwahiyo we unahisi Rice hatokuwa sehemu ya wenye price tag kubwa na wakafanya vizuri?

Mlichukua hatua gani nyie washabiki wa Chelsea baada ya club kutoa zaidi ya £100 Kwa Enzo?

Au wewe unaewapenda sana Arsenal unashauri wangemnunua Nani?
 
Sasa Enzo unamfananisha na Rice mnaetaka kuingia cha kike, trust me City hawawez kuchukua mchezaji wa hovyo kwa pesa yote hiyo. Westham ni janja yao wawapige hela.
Huyo ubwabwa ni kama tyr mchezaji ni wa Ass anal. Westham wanacheza tu na akili yenu.
 
Mimi wala simfananishi na Enzo ila nafananisha price tag coz mada ni kuwa na price tag ya £100, kitu ambacho wote tunajua kuwa Signing ni Gamble

Kama nyie mme Gamble kwa Enzo na ika work out basi inawezekana pia Kwa Rice ika work out pia Kwahiyo mlitaka Arsenal itake mchezaji mwenye price ipi?

kwani sio nyei mliotoa £97 kwa Lukaku? Sio nyie mliotoa £72 kwa kepa? Sio nyie mliotoa £60 kwa Cucurela? Sio nyie mliotoa £76 kwa Fofana? Sio mliotoa £60 kwa Morata?

ila midomo mirefu kama chuchungi kwenye hela za wengine, ushauri wenu unafaa zaidi kwenu Chelsea kuliko Arsenal
 
Katika zile assumption zangu 3

Nilisema Kama city hawatapata baraka kutoka kwa Kambi ya Rice Basi hawaweki bid mezani

Reliable source ExWh anasema

City held talks with West Ham over Rice but did not lodge a bid. During discussing terms it was made very clear that Rice prefers Arsenal over the two

(ExWHUEmployee Latest)-reliable source kwa Westham news
 
@ExWHUEmployee Patreon:

“We can confirm that Man City held talks with West Ham over the sale of Declan Rice but did not lodge an official bid. It was made very clear that Declan Rice really favours a move to Arsenal over the two.

The main factor is Arteta.” #afc

Full Post hii hapa chini , ili uisome kwenye petron inakupasa ulipie £5

IMG_20230624_134033.jpg
 
|| West Ham are encouraging Arsenal to make a third bid for Declan Rice to bring a speedy end to the transfer saga

[Via - @talkSPORT].
 
BREAKING: Manchester City have held talks with West Ham but are yet to make a formal offer after being told Rice prefers a move to North London.

- talkSPORT sources understand

Listen ☞ talkSPORT.com/Live
 
Watu betting wapo fasta Sana

Declan Rice was 3/1 to join Arsenal yesterday.

He’s now 1/2…
IMG_20230624_140055.jpg
 
BREAKING:

West Ham are now encouraging Arsenal to submit their third bid for Declan Rice to put an end to this saga. Manchester City held talks but have not bid yet, after being told that Rice prefers a move to North London. Reports,

@BroadcastMoose.

As you know, @BroadcastMoose, is very well linked at WHU and knows Declan personally.
 
@ExWHUEmployee Patreon:

“We can confirm that Man City held talks with West Ham over the sale of Declan Rice but did not lodge an official bid. It was made very clear that Declan Rice really favours a move to Arsenal over the two.

The main factor is Arteta.” #afc

Full Post hii hapa chini , ili uisome kwenye petron inakupasa ulipie £5

View attachment 2667321
City anaweza peleka bid moja tu na kazi ikaishia hapo, wanaongea Kwanza wajue nini westham wanataka

Inawezekana City bado wapo kwenye mazungumzo ili kujua ni namna gani watalipa hizo pesa coz naamini hakuna atakaelipa zote Kwa mkupuo

Arsenal wao unaweza kuta wanataka walipe kwa installment nyingi zaidi ila city aka propose alipe kwa awamu ata 2 tu
 
Deal la Rice to Arsenal
Deal la Caicedo to Chelsea lilianza pamoja mbona la Chelsea nalo halikamiliki.
 
City anaweza peleka bid moja tu na kazi ikaishia hapo, wanaongea Kwanza wajue nini westham wanataka

Inawezekana City bado wapo kwenye mazungumzo ili kujua ni namna gani watalipa hizo pesa coz naamini hakuna atakaelipa zote Kwa mkupuo

Arsenal wao unaweza kuta wanataka walipe kwa installment nyingi zaidi ila city aka propose alipe kwa awamu ata 2 tu
Unachoongea mbona Kama kimeshapita

Toka Alhamisi City ilikuwa aweke ofa mezani ila kwa sharti Moja Rice abariki ,lakini Had leo jumamos City hajaweka bid yoyote

Ndio Vyanzo vya kuaminika vinasema mchezaji amewaambia anataka kwenda North london , ndio maana hawajatuma bid yoyote had Sasa ,kumbuka alhamis Media zilisema city anajiamini na siku hiyo hiyo atatuma ofa

Hii ilitokea kwenye dili la Raphina , Edu alipoambiwa mchezaji anaitaka Barca tu Tena wakiwa na pesa ya kuungaunga ,aliacha kuweka ofa ya 2, Chelsea wakaweka ofa ikakubaliwa na Leeds , mchezaji akagoma ,ikabid Leeds akubali masharti ya Barca kulipwa kwa installments
 
@ExWHUEmployee Patreon:

“We can confirm that Man City held talks with West Ham over the sale of Declan Rice but did not lodge an official bid. It was made very clear that Declan Rice really favours a move to Arsenal over the two.

The main factor is Arteta.” #afc

Full Post hii hapa chini , ili uisome kwenye petron inakupasa ulipie £5

View attachment 2667321
ni upumbavu mkubwa kuamini kuwa Rice haitaki Manchester City team ambayo ina uhakika wa kubeba big trophies and medals NAKATAA HILI tena Manchester City akisema awe serious tunamkosa huyo Rice kwa asilimia nachokiona tu ni PEP anacheza mchezo vs Arteta sababu last season tumekuwa washindani wake na pia nao bado wanajitafakari but kwa Arsenal ndio anatakiwa amalize hii issue kwa uharaka tutakuja kuambiana Arsenal inafahamika kwa kufeli sajili daily but kusema Rice haitaki Manchester City ni wapumbavu pekee wataamini hii story, Arsenal wapeleke fungu tumalize hii saga but siku Manchester City apeleke fungu serious na habari ya Rice itakuwa imeisha trust me bro

Kuhusu Raphinha kuikataa Arsenal na Chelsea na kuikubali Barcelona ni ukweli asilimia kuwa players wote wa South America ndoto zao kubwa ni only 2 teams Barcelona and Real Madrid so inapotokea tu hizo team zikamtaka player tena toka South America hawezi kataa abadani
 
Mimi naweka vyanzo ,wewe unaweka porojo ,ndio maana huwa sikujibu na niliacha maana naongea fact sio mawazo yangu

Nimeweka source kutoka vyanzo reliable ,

Kuna factors kibao tunaziona ,Rice kaahidiwa kuwa captain ,ana uhakika wa kucheza ,mshahara anaopewa city ndio huo huo Arsenal Wana uwezo wa kumpa

Kwan Kelvin Philips Nini kinataka kumkimbiza city ?
 
Arsenal are the one who are in need of rice but west ham are the ones encouraging us to bid

Back
Top Bottom