Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbona kuna watu kama wameanza kuchukulia kama suala la Arsenal kumkosa Rice nalo ni la kuwazomea?

Personally naona Arsenal wasimsajili RICE, hizi kelele na fee anayowekewa vitamfanya awe another version of pepe...

Lavia awe priority kwakweli
Sisi kama arsenyau hatumtaki rice tunamtaka lavia.

Fungu la kukosa.
 
Mbona kuna watu kama wameanza kuchukulia kama suala la Arsenal kumkosa Rice nalo ni la kuwazomea?

Personally naona Arsenal wasimsajili RICE, hizi kelele na fee anayowekewa vitamfanya awe another version of pepe...

Lavia awe priority kwakweli
Unaweza kuwa sawa kwa sababu hapo mlipofika, PEP hawezi kuingia
 
Arsenyani na kocha wenu hamjui mnataka nini. Huyu Rice mnayemlilia mtakuja kumkataa: siyo kuwa ana uwezo mdogo ila ni namna kocha wenu anavyotaka kumtumia.

Mpaka sasa mshajiingiza mkenge kwa kumsajili Havertz.
Rice akitumika mbele ni mbovu ila akitumika kama CDM hapo Arsenal wamempata mchezaji
 
Tatizo ni watu watakaocheza mbele yake hawana uwezo kwenye ball retention & defending. Bora Ode ila Kai ni mvivu.

Labda kama Arteta anamtaka Timber ili aje acheze IFB kama ball-carrier, hapo nitamuelewa anachotaka kufanya.

Hata kule Chelsea wanateseka kwa kumtumia Enzo vibaya. Ukitumia double 8s inatakiwa mtu anayeweza kucheza lone DM kweli bila hivyo ukikutana na timu zinazo-press ni balaa tu.

Mfano EtH pale United huwa anajaribu kumtumia Eriksen na Bruno halafu Casemiro kama lone DM kinachomkutaga wote mmeshuhudia.
 
Mbona kuna watu kama wameanza kuchukulia kama suala la Arsenal kumkosa Rice nalo ni la kuwazomea?

Personally naona Arsenal wasimsajili RICE, hizi kelele na fee anayowekewa vitamfanya awe another version of pepe...

Lavia awe priority kwakweli
Rice mi namwona ni mchezaji wa kawaida sana. Yaan mpk sasa najiuliza ni kwa nini Arteta anamng'ang'ania.
Arse88 naona mnaenda kupgwa kama mlivyopgwa kwa Kai. Ombeni mungu City awaokoe kw kumchukua.
 
Hapo vipi manondoka na nani hapa.View attachment 2666150
20230623_103534.jpg
 
Rice mi namwona ni mchezaji wa kawaida sana. Yaan mpk sasa najiuliza ni kwa nini Arteta anamng'ang'ania.
Arse88 naona mnaenda kupgwa kama mlivyopgwa kwa Kai. Ombeni mungu City awaokoe kw kumchukua.
Actually hatupigwi, maana hizo hela za wenye timu yao mimi huku nanjirinji sipaswi kuzionea ubahili..., Mimi naangalia performance ya mchezaji baadaye...

Kilichomfanya Pogba kuflop na kuwa mchezaji wa ovyo ovyo ni tangia alipokuwa kwenye headlines za media..

Ni wachezaji wachache sana wanaoweza kumanage hilo
 
| @FabrizioRomano on Arsenal and Declan Rice:

“There is a crucial part of the story to mention. At the moment, the player has been very clear from what I understand. He wants to be open and to see what Arsenal and Manchester City will do in the next hours and days.

“We know one crucial point on this story. Mikel Arteta… Arteta is pushing at the best level to sign Rice and is trying in every single way. Of course, it doesn't depend on him. It depends on the owners and how much they want to spend on the deal.

“But Arteta is trying his best. He's really pushing for Rice to join Arsenal. So Arteta could be crucial. If Rice will be an Arsenal player, trust me, Arteta will be a crucial factor.

“But Manchester City are in it and are in the race. Let's wait and see what happens in terms of bid. But at the moment, in terms of contact. Arsenal’s intention is to bid again, and they remain in the race. So both clubs are still there. Nothing is decided yet.” [via YouTube] #afc
Kocha wangu anapush cuz anajua Rice akienda City and the game is over kabla ya Msimu haujaisha. Guardiola ana push cuz anajua Arsenal ni strong challenger, tukimpata Rice anapunguza quality gap kati yetu na City.
 
Shida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asume
 
Ndo hivyo tena Arteta anamuuza Kieran Tierney, ila ana roho ngumu sana.
 
Shida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asume
Mtaalam Lembu tunakusikiliza na asante kwa kufuatilia mpira na sio team. ::::
Arsenal are preparing their second bid for Jurrien Timber. Expectation’s to be submitted soon — crucial step after green light from the player. #AFC

Arteta has already approved Timber as priority target for this window.
 
Shida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asume
Anakuja Timber ,Arteta kaidhinisha tayari

Fabrizio Romano

Arsenal are preparing their second bid for Jurrien Timber. Expectation’s to be submitted soon — crucial step after green light from the player. #AFC

Arteta has already approved Timber as priority target for this window.
 
City Hadi Sasa hajatuma hiyo ofa

Media zime drive Sana Jana

Hasa Di marzio , media za UK zikamkana ,

Anasema Rice anakaribia mancity ,

Bila ku submit bid ,bila kumalizana personal term
 
Yan jana usiku nikakua Rice deal lishakamilika kwenda City kumbe ishu bado mbichi kabisa
 
City Hadi Sasa hajatuma hiyo ofa

Media zime drive Sana Jana

Hasa Di marzio , media za UK zikamkana ,

Anasema Rice anakaribia mancity ,

Bila ku submit bid ,bila kumalizana personal term
Kaka hv siti inaweza kushindwa katika kusajili mchezaji ambae nao wanamtaka kweli kweli?
 
Shida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asume
Shida kubwa ni #6 na ndio maana links zinaonesha tupo tayari kuweka million 150 (Rice + Lavia) hilo eneo.
 
Back
Top Bottom