Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Meza gani wanayoweza kupindua hawa Arsenal labda meza ya wanywa Gongo, Arsenal ni Losers.Lala kesho utakuta meza imepinduka huku![]()
Loser Fansbase.
Loser club.
Meza gani wanayoweza kupindua hawa Arsenal labda meza ya wanywa Gongo, Arsenal ni Losers.Lala kesho utakuta meza imepinduka huku![]()
Kuna muda kama shabiki unapaniki kwamba kwanini arsenal wamechelewa kukamilisha hili dili mpaka city anaingia kwa miguu miwili.
Je hawakuona biashara ya gundogan kwamba itaharibu na kuingilia mtiririko wa dili la rice? Kweli?
Kwamba shabiki unaweza ona intervention ya city ila arteta na bodi nzima hawakuona.? Really?
Kwa akili ya kawaida hii kitu haipo.kwangu mimi inawezekana arsenal walikuwa wanamsubiri city aje kwenye hii dili.wakati hammers wakichelewesha deal kusubiri city aingie ili kuwe na bidding war arsenal nao walikuwa wanamsubiri man city.swali ni how and for what?
Ngoja nikwambie. Sajili tulizofeli ambazo sisi tunaziita zilikuwa ni A-list inawezekana kabisa ndo zilikuwa B-list au zilikuwa ni technical methodology za kupata preferred targets.
Dili la muddrick liliniachia funzo kubwa sana kuhusu namna arsenal anavyosajili. Mind you kwamba inawezekana hata hatujui clear targets za arsenal tofauti na hizi zinazozunguzwa na media.
Welcome mancity kwenye deal la rice kuna kitu tutaona au tutajifunza
, kwamba timu zote zinaangalia arsenal anamtaka nan then ndio zifanye usajili, kwa kipi arsenal alichonacho mpaka uje na theory za kipumbavu!!Kwan Liverpool mmefungiwa kusajili? Baada ya macAllister mmepotea
Nyie si mmemfatilia Jude mwaka mzima


.
Kwahiyo anakuja kwenu kucheza Europa?Meza gani wanayoweza kupindua hawa Arsenal labda meza ya wanywa Gongo, Arsenal ni Losers.
Loser Fansbase.
Loser club.
Mmefungiwa kusajili?
Di marzio ndiye kasema hivo,lakin Media zote za UK zimesema sio kweliArsenal set to miss out on Declan Rice as reliable journalist says Man City agreement close
️
#AFC
| @FabrizioRomano on Arsenal and Declan Rice:Media politics ili wauze habari
Kawaida lolote kutokea kwenye TransferNyie hamjifunzi kwa Mudryk bado eh!
Hapa unataka kufanya watu waone arsenal ipo strategic kumbe hamna lolote, kwamba timu zote zinaangalia arsenal anamtaka nan then ndio zifanye usajili, kwa kipi arsenal alichonacho mpaka uje na theory za kipumbavu!!
Mudryk it was the first target na si trossard na ilimkosa kwasababu ya ubahili na hata rice it will be the same.
Tukisema mashabiki wa arsenal ni vichaa na mna false hope mnaona kama tunawakosea , hii theory yako ni ujinga tu na matumaini hewa


daaaahhh we jamaa hua unanikosha sana na comments zako, hizi kima hua unazipiga mulemule kwenye mshono, zinapozidiwa kwa hoja zinaanza makasiriko na matusi juu.