Sasa why tunabishana ?answer my fuc*** question sio wewe na vyanzo ulivyovileta hapa Mykhailo Mudryk atakuwa ni Arsenal player?OK nachotaka kusema usijipe hope kubwa kubwa kuwa Rice anaitaka Arsenal na sio Manchester City hapa nakataa abadani Rice anaondoka West Ham kwa ajili ya kugrow katika career yake so inawezekana kwa sasa Arsenal ndio wanamtaka kwa udi na uvumba na yeye yupo tayari but huu ucheleweshaji wa Arsenal siku Kipara akipeleka fungu, next seasonKila siku humu mnaelezwa situation ya deal la mudrky ,unarudia vile vile
Halafu mm Sina muda wakujibishana ,ila husikii kwanini?
percent Rice atavaa jezi za Manchester City kama Mykhailo anavyovaa za Chelsea sasa hiviNdio wanavyo danganyanaga, halafu unasikia mchezaji kaenda kwingine. Kama Mudryk yaani kw jins alivyokua anapambwa kua anaitaka tu Arse88 kuliko Ars88 inavyomtaka!,sikutegemea katu katu kama angeenda timu nyingine.Kitu inayonifurahishaga kweye tetesi za usajili kwenye timu ya Arsenal ni kauli hii
* Player has only wanted Arsenal move
Hapo nimekuelewa kamanda. Kusajili ni kubetMimi wala simfananishi na Enzo ila nafananisha price tag coz mada ni kuwa na price tag ya £100, kitu ambacho wote tunajua kuwa Signing ni Gamble
Kama nyie mme Gamble kwa Enzo na ika work out basi inawezekana pia Kwa Rice ika work out pia Kwahiyo mlitaka Arsenal itake mchezaji mwenye price ipi?
kwani sio nyei mliotoa £97 kwa Lukaku? Sio nyie mliotoa £72 kwa kepa? Sio nyie mliotoa £60 kwa Cucurela? Sio nyie mliotoa £76 kwa Fofana? Sio mliotoa £60 kwa Morata?
ila midomo mirefu kama chuchungi kwenye hela za wengine, ushauri wenu unafaa zaidi kwenu Chelsea kuliko Arsenal
Hzi ni taarifa za kwenye vyombo vya habari vya michezo...whether ni kweli au uongo hiyo ni ishu nyingine...jamaa anachofanya ni kuleta taarifa zilizopo mtandaoni sio mawazo yake....Mudryk suala lake mpk kesho inajulikana both Arsenal na Chelsea hela Yao wte ilikuwa sawa...ila terms of payment ndo zilitofautiana na pia kwenye usajili wake kulikuwa kuna mambo ya kisiasa pia katikati na mchezaji husika ilibidi akubali kwenda Chelsea kutokana na mazingira yalivyokuwa lakini moyoni kabisa alikuwa anataka kwenda Arsenal...lipo wazi linajulikana...Sasa nashangaa sana ww jamaa unakuwa too perssimistic kuhusu hili jambo....as if yaani ww ndo una uchungu kwlikwli na hii timu...ikitokea Rice amesainiwa itakuwa poa...ikitokea hajasainiwa atakuja mwingine....ndo mambo ya usajili yalivyoKwani kwa Mykhailo Mudryk hukuweka vyanzo?si hapa wote tulijua anakuja Arsenal deal inakaribia kukamilika?au sio wewe?uzuri mimi huwa naongea Naked truth kusema Rice haitaki Manchester City team but he prefer Arsenal team huu uongo nauchukia sana hata kama wote ni Arsenal fans
Pamoja mkuuHapo nimekuelewa kamanda. Kusajili ni kubet
Kai Havertz:
️
Kumbe umeichek hyo mech marudia bonge la kamba bwege RVP alifunga leo anajiita nyumbuIt is Chelsea 3, Van Persie 3 and Arsenal 5
Mimi hata akichez partey haverts na odergaard sion tatizo uimara wetu upo kwenye kuhold mali na kumpress mpinzani kuhakikisha mchezo tumeukamata sabb zinchenk mara nying anadrop center kuposses na kuwabana wapinzani kbl ya kuanz kutuattack nnachokion baada y kumkosa saliba beki yetu ilipwaya kias fln mfumo wa zinchenko kudrop kutengeneza double pivot inahtaji uimara wa mabeki watatu wanaobaki na wawe aggressive ndio maana nahitaji kuona tunampata timber kbl hata ya dil la rice sabb atampa arteta mifumo mingi na machaguzi mengi kuanza na beki wa3 au wa4 au acheze kiungo direct 6 akiwa na partey au zinchenko Baadhi ya game aanze benchi timu iwe na bek3 flat then waongezwe viungo kitu ambacho kitamfany haverts atuoffer double striker.....kai nahakika kwa mfumo wetu akiclic nampa gurentee ya goli + assist 15+ za epl.Getting Rice is key to unlocking Havertz and Odegaard double 8, his ability to cover ground and defensive actions will make up for Havertz defensive weakness.
Rice DM with either Zinchenko or White/Timber inverting to form a double pivot is Arteta’s plan
Kwakwel Usajiri wa Timber Ni muhimu Sana ,alipoumia Saliba,nakumbuka hata kuanzia mpira nyuma tuliacha tukaanza direct football ,Mimi hata akichez partey haverts na odergaard sion tatizo uimara wetu upo kwenye kuhold mali na kumpress mpinzani kuhakikisha mchezo tumeukamata sabb zinchenk mara nying anadrop center kuposses na kuwabana wapinzani kbl ya kuanz kutuattack nnachokion baada y kumkosa saliba beki yetu ilipwaya kias fln mfumo wa zinchenko kudrop kutengeneza double pivot inahtaji uimara wa mabeki watatu wanaobaki na wawe aggressive ndio maana nahitaji kuona tunampata timber kbl hata ya dil la rice sabb atampa arteta mifumo mingi na machaguzi mengi kuanza na beki wa3 au wa4 au acheze kiungo direct 6 akiwa na partey au zinchenko Baadhi ya game aanze benchi timu iwe na bek3 flat then waongezwe viungo kitu ambacho kitamfany haverts atuoffer double striker.....kai nahakika kwa mfumo wetu akiclic nampa gurentee ya goli + assist 15+ za epl.
Binafsi nausubr usajili wa timber kuliko rice
#COYG
Nashangaa wanaolalama ,vitu hiv kwenye usajili Ni vyakawaida SanaSioni hata hoja ya kupinga taarifa zinazotolewa na vyanzo vya tetesi, kushinda au kushindwa kwenye usajili sio vibaya timu zote zilishawahi kushindwa na timu zote zilishawahi kushinda na kuna sababu nyingi tu, zipo kwa ajiri ya pesa,kwaajiri ya mafanikio binafsi,ndoto za kucheza team fulani,siasi, kwaiyo Rice kwenda Man city au Arsenal sio kitu kipya kwenye suala la usajili hata hao City kwa Cucurela walitupa taulo ulingo kwaiyo nikawaida sana, Arsenal kashatuma ofa mbili kwa Rice zimekataliwa sio jambo la kushangaza,Man United katuma ofa mbili kwa Mount zimekataliwa, hakuna Mantiki ya kubishana zaid ya tusubili ofa ya tatu ya Arsenal na ofa ya City tuone mwisho wa Movie bas..
Kumbe umeichek hyo mech marudia bonge la kamba bwege RVP alifunga leo anajiita nyumbu