Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

jana zilipobaki dakika sita nikazima TV ... coz timu iliyocheza 1st half ni tofauti kabisa na ya 2nd half .. wenger pls jenkinson umempa nafasi nyingi sana aoneshe kwamba yeye anaweza.. game ya kwanza alijifunga goli maridadi.. game ya jana mipira yote alikuwa anapoteza .. wakuu tutakuja kushangaa ligi ikianza babu yetu bado ataendelea kumng`ang`ania kijana ... but nashangaa nasoma habari za media`s uk wanamsifia eti ame improve jana! ,mpaka nikasikia kutapika ewwwww!!

...hhhaa hhaa...dahhh..mkuu I share your sentiments.

Pls give a Boy his credits bana. Hana experience yeyote kwenye top flight football, ila ana potential.
Kiukweli, hata mimi na doubts alichokiona Arsene Wenger kiasi cha kuvutiwa nae sana dogo huyu atuwakilishe kwenye EPL kukaimu nafasi ya Sagna, lakini amini usiamini...AW ana kipaji cha kuvumbua vijana kama hawa.

Pamoja na makosa yake madogo madogo (Makubwa in competitive football)...naamini in a near future ataichezea England/Finland! Naamini haitamaliza mwaka kabla hajaitwa National team. He's so talented. Kwasasa, natamani aendelee kuwa 3rd choice Right back,---Sagna, ---Eboue---Jenkinson...!
 
Tuko pamoja wakuu kuangalia maandalizi ya mwisho na tuombe wenger aonemakosa mapema hili haweze kuayarekebisha kabla dirisha la usajili kufungwa.
 
List la leo Szcesny,sagna,varmelen,koscienly,gibbs,wilshere,song,ramsey,rosicy,gervinho,van persie.




Welcome back Henry.
 
khaaaa? mpaka Navoyne nawe umerudi hapa? ama kweli msimu unakaribia kuanza.
Well well well...

Arsenal 1st Lady Michelle, mbado kumwona hapa...anamalizia likizo.
Chelski aka 'Chausiku' 1st Lady Nayvone.
ManUre 1st Lady BJ aka Belinda Jacob.

Roll Call inaendelea...

Mkuu kuweka record sawa hapo juu kwenye bold,mimi ni mzee wa Theatre of dreams OLD TRAFFORD.

Pia ni He najua jina linachanganya tusameheane...
 
As usual! Poor arsenal
Tunafungwa magoli ya kizembe.
Mabeki kila siku wanajifunga!
Kwani Wenger huon?
Acha ubahili babu
 
As usual! Poor arsenalTunafungwa magoli ya kizembe.Mabeki kila siku wanajifunga!Kwani Wenger huon?Acha ubahili babu
Jagielka anakuja mkuu tayari Everton washakubali dau. Alafu pasi ya Henry ilikuwa nzuri sana na goli zuri tu angle mbaya beki kakutana na mpira pale ni rahisi sana kujifunga.
 
Jagielka anakuja mkuu tayari Everton washakubali dau. Alafu pasi ya Henry ilikuwa nzuri sana na goli zuri tu angle mbaya beki kakutana na mpira pale ni rahisi sana kujifunga.
Unavyoona kati ya Jagielka na Samba, nani anatufaa zaidi?
Kwa maoni yangu naona tunamuhitaji mtu ambaye ni aggresive kama Samba! Jagielka hana tofauti na Kosn!
 
Get your damn cheque-book now Mr. Wenger!!! Kwa upande wangu nahisi imekuwa poa tumekosa haka kakombe kwa maana itampa muda mgumu Wenger, sasa anajua hakuna muda wa kupoteza na kujidanganya difensi hatuna, tunahitaji kununua difenda walau wa2 na sio Jagielka tunahitaji 2 world class defenders.
 
Get your damn check-book now Mr. Wenger!!! Kwa upande wangu nahisi imekuwa poa tumekosa haka kakombe kwa maana itampa muda mgumu Wenger, sasa anajua hakuna muda wa kupoteza na kujidanganya difensi hatuna, tunahitaji kununua difenda walau wa2 na sio Jagielka tunahitaji 2 world class defenders.
Jamaa ndio kashafanya maamuuzi kwa jagielka.kwa Cahill wala ku bid hajaenda wakati kabakisha mwaka mmoja tu kwenye contract. Samba january ilikuwa nafasi nzuri sana jamaa ameweka pozi.Mie niliacha kuumiza kichwa kwenye mambo ya usajili manake Wenger huwa anafanya mambo yake chinichini .Kingine naona hapa ni swala la Nasri na fabregas bora wafanye maamuzi mapema mnake tunahitaji supplier wa maana pale kati,Arshavin kazi hio anaiweza kwani kule russia alikuwa anatoa mapande makali sana.Ramsey anajitahidi lakini msimu huu hayuko tayari kwa majukumu mazito.
 
Jamaa ndio kashafanya maamuuzi kwa jagielka.kwa Cahill wala ku bid hajaenda wakati kabakisha mwaka mmoja tu kwenye contract. Samba january ilikuwa nafasi nzuri sana jamaa ameweka pozi.Mie niliacha kuumiza kichwa kwenye mambo ya usajili manake Wenger huwa anafanya mambo yake chinichini .Kingine naona hapa ni swala la Nasri na fabregas bora wafanye maamuzi mapema mnake tunahitaji supplier wa maana pale kati,Arshavin kazi hio anaiweza kwani kule russia alikuwa anatoa mapande makali sana.Ramsey anajitahidi lakini msimu huu hayuko tayari kwa majukumu mazito.
Nimemsikia kwenye interview baada ya mechi ya leo eti anasema kipindi cha kwanza amefurahishwa na difensi yetu? Yaani kuna wakati akiongea unatamani umrukie!
Unajua Arsenal mazoezini hakuna msisitizo wa kudifendi? Wenger ujuzi wake zaidi ni kwenye kuboresha mashambulizi, wakati umefika na amuajiri kocha mfano Adam ama Keown kufanya kazi na mabeki, yeye Wenger alipata bahati ya kurithi defensi iliyofundishwa na mtaalamu wa kujenga difensi George Graham na ndio ilikuwa foundation ya mafanikio yake, katika usajili wake wa mabeki naweza sema ni A Cole, Gallas , Campbell na Sagna ndio alipatia, TV5 ni beki mzuri na hata Djourou ila huwa wanafanya makosa ya kizembe mara kwa mara ni kwa sababu wamekosa mafunzo na kuunganishwa jinsi ya kudifendi pamoja kama timu.
 
Niko hoi! Hata cha kusema sina.

Haya tusubiri ka pre-season ka mwisho na Benfica, ili tujue msimu huu tena utaisha kivipi.

Sa ingine kuwatazama arsenal lazima uwe na moyo mzuri, maana wanarusha roho mno!
 
Unavyoona kati ya Jagielka na Samba, nani anatufaa zaidi?Kwa maoni yangu naona tunamuhitaji mtu ambaye ni aggresive kama Samba! Jagielka hana tofauti na Kosn!
Mkuu Samba namkubali na sikuamini Wenger alipuuza kumnunua january na mpaka sasa hivi sijui kinachoendelea lakini kuna uwezekano anaweza kuleta beki hata wawili kama yule serious na kama atamleta beki mmoja tu wa kati basi ni lazima atafute beki ya kushoto la sivyo ni wasindikizaji tu season hii kama kawaida na matokeo yanaweza kuwa mabaya zaidi.Si umeona fans wamezomea leo baada ya game? Mpaka fans kufikia wanazomea kwenye pre season game basi Wenger ujumbe utakuwa umemfikia.
 
Nimemsikia kwenye interview baada ya mechi ya leo eti anasema kipindi cha kwanza amefurahishwa na difensi yetu? Yaani kuna wakati akiongea unatamani umrukie!Unajua Arsenal mazoezini hakuna msisitizo wa kudifendi? Wenger ujuzi wake zaidi ni kwenye kuboresha mashambulizi, wakati umefika na amuajiri kocha mfano Adam ama Keown kufanya kazi na mabeki, yeye Wenger alipata bahati ya kurithi defensi iliyofundishwa na mtaalamu wa kujenga difensi George Graham na ndio ilikuwa foundation ya mafanikio yake, katika usajili wake wa mabeki naweza sema ni A Cole, Gallas , Campbell na Sagna ndio alipatia, TV5 ni beki mzuri na hata Djourou ila huwa wanafanya makosa ya kizembe mara kwa mara ni kwa sababu wamekosa mafunzo na kuunganishwa jinsi ya kudifendi pamoja kama timu.
Wenger ndio mchezo wake yeye kila siku anajifanya hayaoni makosa na ndio maana anashindwa kuerekebisha na kila siku tunapoteza game kwa style hile hile.Jamaa beki anafanya big issue kwa ajili ya ubishi tu wakuta kulazimisha kwamba alichochagua yeye ni bora wakati dunia nzima inaona ubovu wake. Kipa Shay Given yule pale kamuachia kwa mara ya pili tena angeweza kumsaidia sana Szcesny kwa uzoefu wake lakini wenger anaenda kumuachia majuku dogo ambae hata ku-communicate na beki wake hajui na tutaendelea kuruhusu magoli ya kizembe.Beki ya kushoto kule hata simuelewi ana mpango gani lakini ukweli ni kwamba Gibbs na Traole hawako ready labda kama tunaendelea kukuza vipaji vyao basi tutegemee pia kuendeleza ukame wa makombe.
 
Back
Top Bottom