Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yale yale wakuu, ukiwa uwanjani hakuna cha friendly wala nini, swala ni kucheza vizuri.Kifupi hatuna defense, na ndio kushindwa kwetu.Ila AW hataki kununua beki yoyote yule, infact tunaitaji mabeki wawili.
Huo uozo wa beki mkuu ndio hali halisi sio kwa vile ni friendly na wenger mwenyewe anajua lakini ndio mtu ambaye hatabiriki ana mpango gani.
 
Hiyo sio first choice ya mabeki wa kati- first choice in Vamelini na jamaa anayeandaliwa kuja, Jagileka au Samba!
 
Kikosi karibu kinatimia, pengo la Fabregas limeshazibwa na kiungo chipukizi Wilshere, na Ramsey kasharudi fomu - hata Nasri aondoke tu!
 
Kwa heshima na taadhima badili Avatar yako, hizi ni zama mpya za Arsenal - hatutaki tena 'cry babies'!
Usiwe na haraka mkuu official team photo ya season mpya ijatoka bado ndio maana hio hipo hewani lakini kama utaweza kuvumilia mpaka august 13 basi utaona mabadiriko.
 
hakuna kusubiri, dogo cry baby ana-unsettle timu, muache aondoke yakamkute yaliyomkuta hleb!
 
Hiyo sio first choice ya mabeki wa kati- first choice in Vamelini na jamaa anayeandaliwa kuja, Jagileka au Samba!
Hapa hamna cha first choice wala nini!
Mabeki wa Kati, Vamaen ndio hivyo tena bado hajarudi kwenye fom yake,
Djurou ndio mtu wa makosa kila siku kama aliyoyafanya jana!
Kosienley bado hana confidence na siyo mzuri..kumbukeni game ya Newcastle,
Squilash ndio hata hastaili kuvaa jezi ya Arsenal!!
Ukiangalia tena mabeki wa pembeni..tumebakiwa na Sagna tu!
Sasa hapo unategema timu itashinda vp?
 
jana zilipobaki dakika sita nikazima TV ... coz timu iliyocheza 1st half ni tofauti kabisa na ya 2nd half .. wenger pls jenkinson umempa nafasi nyingi sana aoneshe kwamba yeye anaweza.. game ya kwanza alijifunga goli maridadi.. game ya jana mipira yote alikuwa anapoteza .. wakuu tutakuja kushangaa ligi ikianza babu yetu bado ataendelea kumng`ang`ania kijana ... but nashangaa nasoma habari za media`s uk wanamsifia eti ame improve jana! ,mpaka nikasikia kutapika ewwwww!!
 
Isikutishe sana ndugu Viper.
Kweli defense yetu sio nzuri ila sio mbaya ki hivyo.

http://www.arsenal.com/the-match/league-table?season=2010-2011

Tume concede magoli 43, ukiangalia kwenye io table, Ni Man U, Chelski na Man City, wametupita kwa hilo.

Ila tumefunga magoli 72. Ni Manure pekee waliotuzidi kufunga.

Sasa tutadai kununua mabeki, ila tujiulize, hao wakina Samba, Jagieka au Cahill, kwanini timu zao zime concede magoli kuliko timu yetu?

Kama walishindwa kuzuia magoli mengi kuingia kwenye timu zao, kuna uhakika gani watafanya vizuri kwetu?

Tunaweza tukawa tunamlaumu AW bure tu, ebu tujiulize hayo maswali kwanza.
 
Isikutishe sana ndugu Viper.
Kweli defense yetu sio nzuri ila sio mbaya ki hivyo.

League Table | The Match | Arsenal.com

Tume concede magoli 43, ukiangalia kwenye io table, Ni Man U, Chelski na Man City, wametupita kwa hilo.

Ila tumefunga magoli 72. Ni Manure pekee waliotuzidi kufunga.

Sasa tutadai kununua mabeki, ila tujiulize, hao wakina Samba, Jagieka au Cahill, kwanini timu zao zime concede magoli kuliko timu yetu?

Kama walishindwa kuzuia magoli mengi kuingia kwenye timu zao, kuna uhakika gani watafanya vizuri kwetu?

Tunaweza tukawa tunamlaumu AW bure tu, ebu tujiulize hayo maswali kwanza.
Kwenye mambo ya ubingwa na ushindi lazima uwakubali MAN UTD kwenye EPL.

Sasa mkuu hao mabeki wanaotajwa ni wazuri ila ni timu zao tu zinawaangusha ni kama arsenal sio beki zote ni uchochoro ilawakinunuliwa hao na kusaidiana na wazuri wa arsenal itakuwa na ukuta imara.

Wenger ni wakulaumiwa tu hatukatai ametransform mpira wa EPL kwa ujumla ila Arsenal inaitaji ushindi sasa maneno tumesikia sana, hao watoto sasa wanakuwa wakistaafu wataonyesha tape kwamba walikuwa wanapiga chenga,medal zinahitajika jamani......................
 
khaaaa? mpaka Navoyne nawe umerudi hapa? ama kweli msimu unakaribia kuanza.
Well well well...

Arsenal 1st Lady Michelle, mbado kumwona hapa...anamalizia likizo.
Chelski aka 'Chausiku' 1st Lady Nayvone.
ManUre 1st Lady BJ aka Belinda Jacob.

Roll Call inaendelea...
 
Back
Top Bottom