Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,309
Anatakiwa na Barca , Arsenal na city wanataka kumuongezea mkataba mwaka mmojahamis77 kumbe tunamtaka na gundogan, ila SI nimesikia Ali sign annual contract na Barcelona [emoji848][emoji848]
Trust me anabaki city, Kama Barca sheria zitawabana- sioni akikubali kupoteza uchezaji wake wa mwishoni ili atue arsenal🤔.Anatakiwa na Barca , Arsenal na city wanataka kumuongezea mkataba mwaka mmoja
Mke wake Ni mshabiki wa Barcelona
Ataamua Leo baada ya fainal pakwenda
Kuna uwezekano mkubwa hatabaki city ,
Barca bado wanabanwa na FFP ,inaweza kuwa advantage kwetu
Ok ngoja tuoneTrust me anabaki city, Kama Barca sheria zitawabana- sioni akikubali kupoteza uchezaji wake wa mwishoni ili atue arsenal[emoji848].
[emoji117][emoji854]But you never know-how coz earth is full off wonders
Hapa kweli naona arsenyani mnaenda kui dominant hii ligi kwa miaka 10[emoji16][emoji16][emoji16]Bukayo Saka - 2027
William Saliba - 2027
Gabriel Martinelli - 2027
Gabriel Jesus - 2027
Gabriel Magalhaes - 2027
Aaron Ramsdale - 2026
Ben White - 2026
Martin Ødegaard- 2025
Restarted from scratch and now look. Unbelievable work.
Arsenal’s future is bright. Very, very bright.
Mjiandae ,na muombe Pep asiondoke EPL ,Hapa kweli naona arsenyani mnaenda kui dominant hii ligi kwa miaka 10[emoji16][emoji16][emoji16]
Points tulizovuna Ni points za ubingwa broo , City Ni exceptional
Ubingwa hauchukuliwi kwa kuwa na lazima na CF , mbona tulikuwa na kina laca ,auba , adebayo, n.k walifanya Nini?
Katika historia ya Arsenal ndio msimu huu tume produce magoli mengi ,hata kina Henry I think hawakuwahi kupiga Goli nyingi hivi .
Huko Sokoni Kuna CF wangapi wakiwango Cha halland?
Nakutajia CF waliopo Sokoni halafu niambie Nani aje
Harry kane huyu kwa timu za EPL anauzwa €150m , kwa Arsenal hauzwi hata kwa €250m
Victor osmhen huyu Ni €140m
Waliobaki wote Ni CF average tu
Mjiandae ,na muombe Pep asiondoke EPL ,
Arsenal tutakuwa na Center back Bora EPL Mpaka 2027 [emoji682]
Daah siku zile nyakati Kama hizi ndo unasikia Cesc Fabregas anatucha anaenda Fc Barcelona
Samir Nasri anaenda zake Manchester City [emoji119]View attachment 2652896
Unaona mbali sana, yaan rice ni mchezaji wa kawaida sana sana ni vile uingereza wake anapaishwa.Rice overprice tu hapo juzi amraabat kamshikisha magoti mara kibao tuu!!! Huyu beiyake inatikiwa kuwa kwenye 50 huko na si hio 100.