Hakuna exceptional ya city yoyote, points mlizovuna ni ubingwa[emoji23][emoji23] aaah akili za arsenal muachie shabiki wake , mmeshindwa kubeba ubingwa kwasababu tu arsena ni failure team na si kingine yaani unaongoza points 8 then unachoma kwa soton relegated team unaenda ku draw na westham aliyekuwa ana fight relegation unakuja na porojo za exceptional ya city nyie bahati mlioipata haitatokea tena!! Ingekuwa bahati hio wamepata Newcastle,liver , chelsea or man utd now tungekuwa tunaongea ubingwa kwao !!!!
Bila CF hakuna sehemu mtaenda!! Jesus akipata majeraha then anacheza Nketiah sio [emoji23][emoji23] msijekuleta matusi tena na makasiriko!!!
CF wapo wengi tu mfano ivan toney na Hojlund they are not average players