Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713


Dunia haiko hivyo Ndugu, usishangae kesho ungali hai Arsenal FC ikatoka nyuma na kuwapita Man City tena mbali sana kirekodi kwa kubeba kombe hilo hilo la UEFA CL.
Dunia haiko hivyo Ndugu, usishangae kesho ungali hai Arsenal FC ikatoka nyuma na kuwapita Man City tena mbali sana kirekodi kwa kubeba kombe hilo hilo la UEFA CL.
Mbona Man City yenyewe mwaka huu 2023 haikupata ushindani kiviile maana klabu kubwa nyingi sana zimeshuka kiuwezo zikiwemo Buyern Munich & Chelsea FC sababu ya kukosa umakini wa bodi kuamua kukaa na Makocha bora kwa muda mrefu baada ya mabadiliko ya ghafla kabla hata ya wiki 2 kupambana hatua za robo fainali na Real Madrid na Man City?
Pia tambua Man City imemgharimu zaidi ya miaka 7 tangu 2016 pamoja na kuwa na Kocha bora na uwekezaji mzuri kifedha kusajili Wachezaji bora kila mwaka na kufanya vizuri kwenye EPL & FA.
Pesa + Kocha bora na Wachezaji wazuri + Bahati (Upepo) = Makombe/Mafanikio.
Imagine 2006 Arsenal FC ilimtangulia Chelsea FC kucheza fainali za UEFA CL na haikubeba hilo kombe ilihali Chelsea FC ilikuja nyuma ya Arsenal FC kucheza fainali za UEFA CL 2012 & 2021 na zote ikabeba.
Nani alijua Chelsea FC itabeba hayo makombe mara 2 hizo kulingana na kikosi cha Wachezaji iliyokuwa nao dhidi ya timu pinzani za Buyern Munich & Man City?
Je Barcelona FC ya akina Xavi, Iniester, Puyol, Messi ilivyokuwa moto na kubeba UEFA zaidi ya mara 3 tokea 2006, nani alitegemea Real Madrid itabeba zaidi ya mara 5 tokea 2013?
Jifunze kuwa na akiba za maneno (future life is unpredictable/uncertainty).
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
yani uonyeshewe mwisho wa dunia arsenal bado ipo vile vile watu wame travel mpaka future kuona hatimavya arsenal stil wamekuta kombe la mwisho ni 2003/2004

its just a joke though!!





Msamehe utamuua, mana unagonga kule kule kwenye mishono.View attachment 2653082
Ulituahidi as arsenal fan city anaenda kumalizwa kwake sasa mimi kama mfuasi nahoji mbona umebadilisha maneno tena .. now ni exceptionalhapa tu
Dont take it personal twende tukaangalie the real oveload na ovelap mwanagu aroon arsenal
Team mashabiki zake wanatafuta huruma wakati wao wenyewe walizembea..Mimi na wewe nan hana hoja , nakupinga kwa hoja bado unaona sina hoja unaongopea watu tuendelee kukuangalia tu !
Wakati unaongoza league game 28 si huyu huyu hamis alikuwa anatudanganya sijuiii arsenal wanavyopishana oooh man city anaenda kufa pale pale etihad
Si ndo wewe zilivyonaki mechi 10 ukaanza kusema ubingwa ni wenu hata mkipoteza still city nae atapoteza si ni wewe ama tunakusingizia braza
Si ni wewe ulisema kila moja ashinde mechi zake when it was 8 games to go!! Si ni wewe uliesema liverpool mbovuu itakufa si chini ya goli 3 wakileta mpira wa kupishana !!
LEO KAGEUKA MANENO YAKE BAADA YA KUKIMBIA AKAJUA TUMESAHAU ET MAN CITY NI EXCEPTIONALHUKUJUA HILI WATU HUMU SI WALIKUAMBIA !! Kina computerarsenal wakisema ooooh unakuwa mkali wewe arsenal huhijuiii kuliko tunavyoijua sisi wadanganye watoto
Endelea kuwaaminisha wenzio kuwa Rice(Ubwabwa) ni bonge la mchezaji, badae uwakimbiePale Chelkenge una Kiungo gani aina ya Declan ?
Mbona Enzo mmetoa €127m lakini Ni average player , leo unamponda Rice , kwa Kiungo gani uliye nae
Na kwa usajir wenu wa kukurupuka , msimu ujao mnaweza kugombea kushuka daraja tena









Hata hujui maana ya kuvunja na kufikia kweli Arsenyeto ni mbumbumbuShabiki la Nyumbu linapogundua Guardiola anavunja rekodi ya Ferguson wakati limetumia msimu mzima kushangilia Man City.View attachment 2645420
Mna unbeaten record ambayo sawa aliyofanya Preston North EndChampionsleague trophy
![]()
Manchester City 1
Arsenal 0
Timu ya kisenge hii ya Arsenal for more than 70 years tumeshindwa kubeba Champions![]()
league trophy and then Manchester City kabeba
Wanasema wana Gold Epl trophyTimu ya kisenge kutwa rumours za usajili but no big trophies even Manchester City amewin champions league trophy and Arsenal still has 0 ueropean trophy seriously?
Alianza ChelseaTimu ya kisenge hii in reality maneno ni mengi even Manchester City kabeba championsleague before us ??sitapata usingizi leo