hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,521
Sina muda wakubishana na wewe naona unafosi SanaDaaah its against man utd, season hiii haikuwa arsenal vs man utd in title race !!! Akili za arsenal fans bado zipooo mwaka 2008 inasikitisha kweliii !!! Man utd ambae msimu wake huu anajiona mbovu lakini wewe unafurahiii kumfunga na ukimfunga unajiona bingwa[emoji28][emoji28] , nembu lete hii huyo rice against man city!!
Stats za rice against man utd[emoji23][emoji23][emoji23] timu ambayo bado inajitafuta