UMBWE1
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 789
- 759
Jaman hata mimi naomba nielezewe quality ya rice please nastruggle kuiona uwanjaniNamkubali sana huyu mwamba ni mara 2 ya Rice
Jaman hata mimi naomba nielezewe quality ya rice please nastruggle kuiona uwanjaniNamkubali sana huyu mwamba ni mara 2 ya Rice
Huwa namshangaa sana tunavyopigwa bei za ajabu. Liva kachukua McAllister kwa 35m tu, ila Arsenal akienda sasa mara hauzwi mara ujinga gani bei hiyoo mfano Caicedo na Muddy.Rice overprice tu hapo juzi amraabat kamshikisha magoti mara kibao tuu!!! Huyu beiyake inatikiwa kuwa kwenye 50 huko na si hio 100.
Yan ukiwasikiliza hapa washabik wa Gunners wanavopanga mipango yao utadhan ni team ya maana kua ina mipango ya kubeba ubingwa wa maana kumbe porojo tu za vijiweni.Ukiwasikiliza sasa mashabiki wao unabaki unacheka tu, kuna mtoto wangu wa 4years asubuhi kila nikiwa natoka nyumbani hua ananiambia jioni nikirudi nimnunulie gari, pikipiki, baiskeli na meli, mimi hua naumuitikia tu halafu jioni nikirudi namletea pakti ya karanga au mahindi ya kuchoma.
Huyu dogo akili zake hua nazifananisha na mashabiki wa Arsenyau, utasikia dirisha hili tunamsajili Caisedo, Rice, Gundogan, MacAllister hua nabaki kucheka tu maana najua mpaka dirisha linafungwa wanaishia kununuliwa karanga au mahindi ya kuchoma tu.
SWALA LA CAICEDO LIPO HIVI!
Caicedo binafsi angependa kucheza Arsenal, sababu haswa ni Ligi ya mabingwa (Champions League). nina sisitiza Arsenal ni kipaumbele chake.
Brighton wasinge penda kumuuza Arsenal, wanajua hawawezi kulipa pesa kiasi cha £80m na kuendelea sababu sio Kipaumbele kwenye orodha yao... Rice ni namba 1. Brighton wangependa kumuuza Chelsea.
Brighton wanamtaka beki wa Chelsea, Levi Colwill... Chelsea wametupilia mbali dau Lao la £30m, wamesisitiza hawamuuzi. Wapo teyari kuto muunganisha na dili la Caicedo. 
. Arsenal kwao namba moja ni Rice, Chelsea kwao ni Caicedo. Arteta ndoto yake ni kuwa na
Naona swala kama la Mudryk hapa. Namna pekee Chelsea kumnasa Caicedo ni kulipa dau la ajabu na mshahara wa 'anasa'.Dah unanikosea aisee mm sio Huyo jamaa
Kwahiyo waleta tetesi wote humu Ni Aaron. Aaron Arsenal ni hamis77 ila niliamua kujipa muda mpaka dirisha la usajili likikaribia kufunguliwa ndio nitajihakikishia kua ni kweli.
Alivyoanza tu kutuletea tetesi za usajili ndio nikapigia mstari kabisa kua hamis77 ndio yule Aaron Arsenal aliekua anatuletea tetesi za usajili wa Mudrick kila baada ya sekunde 5.
Oyaaa hamis77 twende zetu kwenye jukwaa la United tukamnange 7Hag kua ni kocha wa mchongo halafu Antony ni mchezaji wa Youtube Man Utd tumepigwa £100m![]()
Arsenal tumefunga magoli 88 msimu huu EPL pekee ,na hapo Kuna miezi 3 tulimkosa Jesus,Hivi kwanini arsenal asi tafute striker was maana, coz hizo pound90m au 100m. SI Wana pata striker mwenye uchu wa magoli hamis77, Arone Ramsey, DeepPond![]()
Nan mfano?Hii timu vipi mbona kimya kiasi hiki wakat wenzetu wanajipanga vyema.
Shida sio magoli captain, we need a real striker anaye weza kuamua mechi.Arsenal tumefunga magoli 88 msimu huu EPL pekee ,na hapo Kuna miezi 3 tulimkosa Jesus,
Tatizo la Arsenal sio magoli
Tunahitaji kuboresha tu kikosi ,in term of depth , quality ,n.k
Points tulizovuna Ni points za ubingwa broo , City Ni exceptionalShida sio magoli captain, we need a real striker anaye weza kuamua mechi.
Matured striker, angalia jinsi halaand, alivyo wasaidia city.
Huwezi mtegemea nketiah, Jesus, na saka wakupe ubingwaa bro

️ | TRANSFERS: Bayern losing ground to Arsenal in Rice race.
: German journalist Florian Plettenberg (@Plettigoal) has conceded that Bayern Munich look unlikely to sign Declan Rice this summer with Arsenal favourites for his signature.
Plettenberg: “Bayern is still in contact with his management as reported yesterday. But within the club they are more and more realistic as they get the feeling that a transfer is very difficult. Because of @Arsenal.”
#AFC #Transfers #MiaSanMia #WHUFC #Rice
️ | TRANSFERS: Arsenal set to launch £35m bid for Man City star.
: According to CaughtOffside journalist Jason Pettigrove (via FootballTransfers), Arsenal are readying a £35m bid for Joao Cancelo after a fresh round of talks with Man City.
: “Talks between the Gunners and Man City are progressing, and Arsenal will lodge their first bid of £35m sometime next week.”


#AFC #Transfers #MCFC #CanceloTumchukue hata Victor osmhen, atatusaidia katika titles races. Maana huwezi tegea wale madogo. Kuna mechi unaona kabisa wanakosa ukomavu au ni utoto tyPoints tulizovuna Ni points za ubingwa broo , City Ni exceptional
Ubingwa hauchukuliwi kwa kuwa na lazima na CF , mbona tulikuwa na kina laca ,auba , adebayo, n.k walifanya Nini?
Katika historia ya Arsenal ndio msimu huu tume produce magoli mengi ,hata kina Henry I think hawakuwahi kupiga Goli nyingi hivi .
Huko Sokoni Kuna CF wangapi wakiwango Cha halland?
Nakutajia CF waliopo Sokoni halafu niambie Nani aje
Harry kane huyu kwa timu za EPL anauzwa €150m , kwa Arsenal hauzwi hata kwa €250m
Victor osmhen huyu Ni €140m
Waliobaki wote Ni CF average tu