Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu kubwa Leicester imeshuka daraja.

Misimu 3 nyuma tulifunga msimu kwa kipigo toka kwa Leicester
 
Endelea kujidanganya ! Time flies! Kipindi unaanza kushabikia arsenal at young age kwa mapenzi ya arsenal kucheza mpira mzurii ndivyo ivyo ivyo madogo wameanza kuishabikia city kutokana na sababu kibao na zenye mashiko zaidi kama makombe , mpira mzurii na world classic players!!!! Jiulize kwanini at your age kwenye 10 0r 12 uliishabikia arsenal , man utd or liverpool na si everton , Newcastle, bolton spurs or bolton ? Linganisha na dogo aliyezaliwa 2000 ana miaka 10 ambao ni umri sahihi wakua shabiki wa mpira na man city 2010 inaanza kuwa vizuriii up to now kipi kimzuiee kushabikia city? Au ulipoanza kushabikia mpira u thought wewe ndo last one
Sijakuelewa.
 
mimi tangia long time nafahamika penye ukweli huwa nanyoosha maelezo ukifananisha Liverpool Chelsea Manchester United na hata City soon atatuacha kwa achievements za makombe(I repeat very soon atatuacha)tunakuwa tunakosea sisi tutabakia kujitamba tu kuwa tuna golden trophy sababu ya 2004 au kucheza final ya champions league pekee 2006 otherwise mengineyo tunakaa kimya tu sababu hao wote wana Premier league Trophies but je ya Ulaya unayo?hapo unaishia kuondoka zako tu eneo la tukio kwa aibu
Katika hizo timu ulizotaja

3 zishanunua mchezaji kwa 100M

2 zishafanya hivyo zaidi ya mara 1

4 zishauziwa wachezaji kwa 70M+ na wachezaji wakawa vimeo

3 zimekua ni kawaida kwao.

Katika hizo timu 1 haina uwanja, 1 inafikiria kutanua uwanja.

Katika hizo timu 3 zimezalisha faida kuliko Arsenal.

3 zina wamiliki 'Matajiri vichaa'

Katika hizo timu nne 1 ilinunua mchezaji kwa 100M msimu ujao ikamtoa kwa mkopo. Na timu 2 hua zinawaweka benchi wachezaji wao wa 100M

Investment yao na ya Arsenal ndiyo imeleta utofauti. Nimesoma hapo juu kuna jamaa kasema imetengwa 200M kwa ajili ya usajili.

Kwa mpira wa sasa hapo ni unanunua winga mbovu kutoka Ajax, unabakiwa na 100M. Unanunua ST Mbovu kutoka ureno na hela imeisha.
 
Kaka Castr haya yote yanafahamika Issue kubwa ni big trophies ina maana ni lini Arsenal tutaiona inabeba Uefa champions league trophy au hata Europa league trophy ?hata Premier league trophy limeanza kutukimbia for more than 20 years now
 
Kama bajeti ni hii aliyotaja jamaa sioni ni kivipi inawezekana.

Yaani hizi trophies ili kuja tunahitaji zaidi ya tulichonacho. Kwa 200M ni uongo, bodi ina vision za kuendelea kutaka club ijiendeshe.

Next season mchuano ni mkali zaidi. Newcastle ana list yake ya wakina Neymar, chelsea ikileta kocha mzuri na ST ugumu mwingine unaongezeka.

Liva akiwakusanya Maddison na Tielemans ni tatizo jingine.

Sina cha kusema juu ya ligi au cl mpaka dirisha la usajili lifungwe
 
Ngoja tuone itakuwaje but kama unavyosema nakubaliana na wewe %
 
Mipango ya mashabiki wa asenali na mipango ya wenye timu havijawahi kuwa sawa toka 2007 kama sijakosea....

Wenye timu Msimu huu niliona walitaka kurudi yuefa tu, mashabiki wakataka kombe baada ya kuona krismasi imepita na asenali.

Tatizo la upana wa kikosi ndio linalowakosesha makombe asenali toka 2007.
Ili asenali akapate walau kombe moja msimu ujao atahitaji kusajili si chini ya wachezaji bora 6-8
Binafsi napendekeza
Beki cancelo
Viungo Gundogan,Rice, Madison, Tielmans
Washambuliaji Mousa Diaby,Kudus.

Wakuuzwa kwa vipengele vitavyoinufaisha asenali
1.Tierney
2.Esr
3.Nelson
4.Balogun
5.Lokonga
6.Nketiah
7.Mari
8.Tavares
9.Holding
10.xhaka
Mkopo wa mpeleke mfanyakazi hewa Fabio Vieira😂😂...

Hivi mashabiki wa asenali jf hawawezi kuwatumia imeili wakina edu huko kuwapa mapendekezo yanini kifanyike.

Ila asenali na kusajili wachezaji wa bure😂😂😂 nasikia wanamvizia kante na thiago silva wakizeeka wawasajilii😂😂😂😂
 
Tumefanya poa kushindana dhidi ya Man City ya Guardiola, City wamekuwa pamoja karibu miaka 10 sasa, kwa upande wetu The Arsenal tukiwa na kikosi chenye kocha na vijana wadogo kwenye ligi, of course gap ni pointi 5 ambazo ni mechi mbili tulizopoteza dhidi yao. we're doing fine, let's build on that.
 
Mipango ya mashabiki wa asenali na mipango ya wenye timu havijawahi kuwa sawa toka 2007 kama sijakosea....

Wenye timu Msimu huu niliona walitaka kurudi yuefa tu, mashabiki wakataka kombe baada ya kuona krismasi imepita na asenali.

Tatizo la upana wa kikosi ndio linalowakosesha makombe asenali toka 2007.
Ili asenali akapate walau kombe moja msimu ujao atahitaji kusajili si chini ya wachezaji bora 6-8
Binafsi napendekeza
Beki cancelo
Viungo Gundogan,Rice, Madison, Tielmans
Washambuliaji Mousa Diaby,Kudus.

Wakuuzwa kwa vipengele vitavyoinufaisha asenali
1.Tierney
2.Esr
3.Nelson
4.Balogun
5.Lokonga
6.Nketiah
7.Mari
8.Tavares
9.Holding
10.xhaka
Mkopo wa mpeleke mfanyakazi hewa Fabio Vieira...

Hivi mashabiki wa asenali jf hawawezi kuwatumia imeili wakina edu huko kuwapa mapendekezo yanini kifanyike.

Ila asenali na kusajili wachezaji wa bure nasikia wanamvizia kante na thiago silva wakizeeka wawasajilii
kwa wanaoelewa Mpira wanajua hii ni project na project ni process. kilichotokea ni Mikel kaoverachieve kwa kujaribu kushindana na Pep wakati akiwa 3/5 phases of his project, ndio maana kaomba msamaha kwa kuwatengenezea mashabiki matarajio ambayo amefeli kuyafikia, hii haimaaniahi kuwa hatofika, by the right time the project will go bang. Yaah, we trust him, the nigga is so smart, sio kama Vipara wengine wana act like Pep wannabe. ahaaha!
 
we need to be aggressive and fast
this window tuache upuuzi upuuzi
 
kwa wanaoelewa Mpira wanajua hii ni project na project ni process. kilichotokea ni Mikel kaoverachieve kwa kujaribu kushindana na Pep wakati akiwa 3/5 phases of his project, ndio maana kaomba msamaha kwa kuwatengenezea mashabiki matarajio ambayo amefeli kuyafikia, hii haimaaniahi kuwa hatofika, by the right time the project will go bang. Yaah, we trust him, the nigga is so smart, sio kama Vipara wengine wana act like Pep wannabe. ahaaha!
for more than 20 years now haya maneno matamu hayakosekaniki watu wanataka big trophies kwenye makabati wewe unaongelea PROJECT PROJECT na kwa bahati mbaya Big team kama Arsenal haina hayo makombe ya ulaya jamani issue ni trophies sio mambo ya maproject miaka 20 sasa unafanyaje na haya ma project?ukiulizwa project imeleta faida gani kwa Arsenal utajibu nini?kucheza mpira mzuri?hata Brighton anacheza mpira mzuri
 
Misimu iliyopita... kama ulikuwa unaangalia vizuri mpira. Siyo unasimuliwa narudia unaangalia vizuri mpira utagundua arsenal imebadilika .
Hakuna mafanikio ya haraka haraka kama mnavyoongelea nyinyi . Miaka ya nyuma arsenal ilikuwa na shida moja. Ilikuwa inafanya usajili wa ndondokela. Wao wakiipambania top 4 huku sajili zao zikiwa ni za kupambania top 4 tu .
Arsenal ilikuwa ina shida moja . Kati ya big six zote arsenal alikuwa hana uwezo wa ku compete nao. Sasa kama huwezi ku compete na top 6 unaanzaje kufikiria ubingwa. ?
Na arteta baada ya kufika pale aligundua hilo.... Kwamba huwezi kugombania ubingwa ikiwa huwezi ku compete wala kuwafunga big 6 Kwa sababu arsenal alikuwa na uwezo wa kushinda mechi ndogo ndogo lakini ikifika big match ni asilimia 90 arsenal ina nafasi ya kupoteza point zote 6 kwa timu hizi kubwa
 
Hilo la kucompete na big 6 arteta kafanikiwa na sidhani kama kuna timu itaweza kuifanya arsenal mteja wake wa kuchukua point 6..
kilichobaki ni kuwa Huwezi kugombania ubingwa kama huwezi kumfunga unaegombania nae ubingwa . Ndo mana liverpool alifanikiwa na alilijua hilo na akaweza ku compete na man city.
Hicho ndo kinachofanyiwa kazi na arsenal na ndo maana ya process .... huenda mdogo mdogo....

Kama arsenal angekuwa na uwezo wa kuchukua point kwq man city msimu huu ni dhahiri shahiri huu ubingwa ulikuwa wake.
Hiyo ni kazi ya kocha na bodi yao kujua kwamba wanalikamilisha vipi hili...
Ukitaka kushindana na bora lazima na wwe ujiimarishe uwe bora.
 
Najua Mnaoelewa haya mambo mpo unfortunately kuna wanaume wachache wenye tabia za kike humu, opinionated losers, hujitoa akili ili wapate attention. So sad.
 
Back
Top Bottom