toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
Binafsi baada kama ya miaka 8 iliyopita msimu huu nimeinjoi saaana kuiona arsenal.
Kuna wakati fulani katika maisha inabidi ufurahie kila nukta nzuri ya muda unaoupata.the world is full of uncertainty.
Kesho ni muhimu ila leo ni muhimu zaidi maana ndo ya kwako.