Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kwa wanaoelewa Mpira wanajua hii ni project na project ni process. kilichotokea ni Mikel kaoverachieve kwa kujaribu kushindana na Pep wakati akiwa 3/5 phases of his project, ndio maana kaomba msamaha kwa kuwatengenezea mashabiki matarajio ambayo amefeli kuyafikia, hii haimaaniahi kuwa hatofika, by the right time the project will go bang. Yaah, we trust him, the nigga is so smart, sio kama Vipara wengine wana act like Pep wannabe. ahaaha!

daaah!!! Ila mashabiki wa arsenal mna imani asee hii imani ni kubwa mno, yani unavyosema arsenal ina project its like a new team in the league! Timu ambayo tunasema ina project ni kama Newcastle na si arsenal. Project ipi hiyo nembu tuelezee kidogo na sisi tuijue hio phase ya 4 na 5 inahusisha nini na archivement zake ni zipi??
 
Hilo la kucompete na big 6 arteta kafanikiwa na sidhani kama kuna timu itaweza kuifanya arsenal mteja wake wa kuchukua point 6..
kilichobaki ni kuwa Huwezi kugombania ubingwa kama huwezi kumfunga unaegombania nae ubingwa . Ndo mana liverpool alifanikiwa na alilijua hilo na akaweza ku compete na man city.
Hicho ndo kinachofanyiwa kazi na arsenal na ndo maana ya process .... huenda mdogo mdogo....

Kama arsenal angekuwa na uwezo wa kuchukua point kwq man city msimu huu ni dhahiri shahiri huu ubingwa ulikuwa wake.
Hiyo ni kazi ya kocha na bodi yao kujua kwamba wanalikamilisha vipi hili...
Ukitaka kushindana na bora lazima na wwe ujiimarishe uwe bora.

Acha kutudanganya!! Kwa table ilivyokuwa arsenal akifungwa na man city home and away still alikuwa anachukua ubingwa!!Arsenal gemu za westham na soton ndizo zimefanya kazingua na si vingine!! Kwa relegated soton both home and away ameambulia point2 tu both home and away!! Sio lazima kumfunga man city swala at the final end arsenal anaweza kushinda game zikiwa zimebaki 8 or 10 to go au visingizio vitabakii vile vile wachezaji wamechoka!!!
 
Aaron wapi? shusha transfer link brother, let's create bad atmosphere as usual brother ahahaha

aaron uzi mpya yupo kimya now kwenye transfer pia kimya .. Still anaponyesha majeraha ila angekuja tu mbona arsenal vidondq vyake vimezoeleka ni every season mwishoniii
Huku kwenye transfer trust me hakuna kitakachofanyika! Wataletwa vijana wa hovyo kama kina viera then kazi yenu itakuwa ni kuwapamba na mpambaji mkuu atakuwa aaron akishirikiana na khamiss
 
Acha kutudanganya!! Kwa table ilivyokuwa arsenal akifungwa na man city home and away still alikuwa anachukua ubingwa!!Arsenal gemu za westham na soton ndizo zimefanya kazingua na si vingine!! Kwa relegated soton both home and away ameambulia point2 tu both home and away!! Sio lazima kumfunga man city swala at the final end arsenal anaweza kushinda game zikiwa zimebaki 8 or 10 to go au visingizio vitabakii vile vile wachezaji wamechoka!!!
Nikuulize swali...? Kwani man city hafungwi n a timu ndogo....? Ni kwa nini ni kazi kupoteza akiwa anacheza na big 6...? Halafu nitajie mechi alizopoteza msimu huu. Unataka ubingwa halafu unakubali kumuachia point 6 mwenzio
 
Man city kapoteza kwa Tottenham, man utd, Liverpool na brentford both away and home!

Arsenal kapoteza kwa man city ,man utd, Everton, brighton na Nottingham forest .
Hapo aliyepoteza kwa mechi nyingi kwa big six ni nan??
 
Unazidi kuthibitisha mapenzi yako kwa arsenal mkuu.
Acha tunywe sumu maana tuna ahadi ya maziwa
 
Arsenal have been in dialogue with the camp of Mosies Caicedo in the past week over a summer move

Arsenal would be willing to spend up to £80m to bring Caicedo to the Emirates

Internal talks ongoing about an opening bid in the coming weeks

Indications are that Brighton would be willing to let Caicedo go for the right fee this summer

Opening bid worth £70m is currently being discussed internally at Arsenal

Artetas recent tactical setup has been with the view of signing both Rice AND Caicedo this summer,
Caicedo has expressed to his agents that he would love a move to the Emirates this summer

Several other clubs interested in Caicedo this summer, notably both Chelsea and Manchester United
 
Man city kapoteza kwa Tottenham, man utd, Liverpool na brentford both away and home!

Arsenal kapoteza kwa man city ,man utd, Everton, brighton na Nottingham forest .
Hapo aliyepoteza kwa mechi nyingi kwa big six ni nan??
Man city 6-3 man UTD

Man city 4-1 Liverpool

Epl ulikuwa unaangalizia chin ya mti wewe
 
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Arsenal remain favourites to sign Declan Rice despite Bayern Munich joining the race for him.

Bayern have notified the Rice camp of their interest but he is likely to stay in England.

- talkSPORT sources understand
 
Man city kapoteza kwa Tottenham, man utd, Liverpool na brentford both away and home!

Arsenal kapoteza kwa man city ,man utd, Everton, brighton na Nottingham forest .
Hapo aliyepoteza kwa mechi nyingi kwa big six ni nan??
Kuna timu ambayo man city kamuachia point 6 hapo kwenye timu ulizozitaja...?
 
Brentford home and away . Liverpool 1-0 man city, man utd 2- 1 man city . Usifikiri tunakurupuka hapa
Hujielewi wewe unajua maana ya away and home ....

Si umesema city tumefungwa na man UTD ,spurs , Liverpool, Brentford home and away ...

Hapo team
Tumeyopoteza home and away ni Brentford tu....Hao wengine wote wamekula kichapo home ...
 
daaah!!! Ila mashabiki wa arsenal mna imani asee hii imani ni kubwa mno, yani unavyosema arsenal ina project its like a new team in the league! Timu ambayo tunasema ina project ni kama Newcastle na si arsenal. Project ipi hiyo nembu tuelezee kidogo na sisi tuijue hio phase ya 4 na 5 inahusisha nini na archivement zake ni zipi??
Kwahiyo Newcastle ni timu mpya EPL?
Tunavyosema arsenal IPO phase 3/5 unadhani mafans wanatunga Ili wajifurahishe?
 
Back
Top Bottom