kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Hivi mnabishana . Lakini mnajua maana halisi ya mafanikio.
Mafanikio ni kufikia malengo yako. Hiyo ndo maana halisi ya mafanikio. Kwa miaka 30 ya liverpool kuukosa ubingwa wa epl je haikuwahi kupitia haya.? Wamepita makocha wangapi liverpool na wakawa wanasheherekea kuingia top 4 . Wamepita makocha wangapi liverpool na wakashindwa kubeba epl? Klop amedumu muda gani liverpool mpk anabeba epl.?
Kama mtu anataka kubishana. Tubishane kwa hoja kwamba kwa nini anasema timu yake imefanikiwa msimu huu na kwa nini arsenal haijafanikiwa msimu huu.?
Nipo nawasubir hapa... niwape nondo.