Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hamis77

Rudi nyumbani brother ligi imeisha tayari
marehemu tayari amefufuka tuko nae unyumbuni anabishania bei ya Antony pamoja 7hag kua ni kocha wa mchongo.
Mkuu hamis77 misukule wenzako wanakusubiria huku uwape mchanganuo kamili jinsi mtakavyo chukua Uefa msimu ujao.
1685442979303.jpg
 
Nimekuuliza big 6 yupi kachukua point 6 kwa man city..?

Kwa brentford!!
Ukitoa man city ni timu gani nyingine imechukua point 6 kwa arsenal katika hizo big six!
Nakuonyesha arsenal kafeli kuzifunga hizi timu ambazo sio threat at all hicho ndicho kilichomkosesha ubingwa !

Kwa soton arsenal kachukua point 2 kumbuka hio ni relegated team, westham ni timu iliyokuwa inapambana kutoshuka daraja pia arsenal kashindwa kupata ushindi, Nottingham forest nayo ilikua katika mpambano wa kutoshuka daraja nayo arsenal kashindwa kuchukua point 6 kwake njoo kwa everton nayo ilikua ipo katika relegation battle pia Arsenal kashindwa kuchukua point 6 . Huwezi kulinganisha na man city team zote zilizomfunga ni nzuriii na ni top 6 or 8 !!!

Huna hoja hapo kusema kilichomkosesha ubingwa arsenal ni kushindwa kuchukua point 6 kwa big six
 
Tony Adams: "So if Arsenal want to push on from here, they have to sign four big, experienced leaders this summer.

"Declan Rice could certainly be one of those, but if I’m going to spend £100million on one player, I want a Jack Grealish type of player who is going to give me goals and assists, not a holding midfielder." [@TheSunFootball]
 
Pumzika wew arsenal timu yako tu...
 
Tony Adams: "So if Arsenal want to push on from here, they have to sign four big, experienced leaders this summer.

"Declan Rice could certainly be one of those, but if I’m going to spend £100million on one player, I want a Jack Grealish type of player who is going to give me goals and assists, not a holding midfielder." [@TheSunFootball]

Arsenal pale hamna mchezaji kama grealish kweli?? A player that gives goals and assists let see this sesson
Grealish goals 5 assist 7
Odergard goals 15 assist7
Martinell goals 15 assist 5
Saka goals 14 assist 11
Jesus goals 11 assist 5
Xhaka goals 7 assist 7
Trossard goals 8 assist 12
Arsenal mpaka sasa sijuii wanataka nini . Labda teacher wakuwafundisha how to win the last 10 games !!
 
marehemu tayari amefufuka tuko nae unyumbuni anabishania bei ya Antony pamoja 7hag kua ni kocha wa mchongo.
Mkuu hamis77 misukule wenzako wanakusubiria huku uwape mchanganuo kamili jinsi mtakavyo chukua Uefa msimu ujao. View attachment 2640232
Yan jamaa anatuwaza sanaa Man U kuliko Arsenal yake...

Sasa hata hatuna urival na club yake atleast angekuwa Liverpool fan ningesema halali yake
 
Arsenal pale hamna mchezaji kama grealish kweli?? A player that gives goals and assists let see this sesson
Grealish goals 5 assist 7
Odergard goals 15 assist7
Martinell goals 15 assist 5
Saka goals 14 assist 11
Jesus goals 11 assist 5
Xhaka goals 7 assist 7
Trossard goals 8 assist 12
Arsenal mpaka sasa sijuii wanataka nini . Labda teacher wakuwafundisha how to win the last 10 games !!
Kiwango kibovu cha key player kwenye game za mwisho ndio sababu basi hakuna kingine kaka.
Ramsdale
Partey
Saka
Jesus
 
Kiwango kibovu cha key player kwenye game za mwisho ndio sababu basi hakuna kingine kaka.
Ramsdale
Partey
Saka
Jesus

Hapa big .. hapa umeongea cha maana sana, ubovu wa viwango vyao!!! Sijuiii pia ni uoga wa arteta kuna game kabisa unaona partey hakutakiwa kuanza na jesus pia hata saka alitakiwa apumzishwe .
Trossard alikuwa formation ya trossard martineli na saka ilikubali sana . Si kila game alitakiwa aanze partey some games angeanza Jorginho ana experience ya kutosha na epl akaanzishwa viera game na soton!! Nelson ndo haamini kabisa!!!
 
Arsenal official bid for Declan Rice will be submitted after the Europa League final. Plan very clear. #AFC

Hapa Rice hapa Progressive no.8 hapa Inverted RB (probably Caicedo)

Alloh points 100 uhakika msimu ujao
 
Arsenal owner Stan Kroenke has received a £2billion cash influx ahead of a crucial transfer window for the Gunners.
#AFC #COYG
 
Declan rice hapa Jojinho Frelo ,huku Zinny huku Cancelo huku Fundi mmoja na nusu Martin Odegaard

Alloh ,

Namkanda manjesta pale OT bila ganzi

Kama msimu uliopita hakugusa mpira kwa dk 20

Msimu huu kazi wanayo
 
Arteta has identified Rice as the Xhaka replacement.

United are interested and could try to scupper the deal. They are working on limited budget and using 55m pounds of that for Mount but could offer players (plus fee) in exchange for Rice/

(@SamiMokbel81_DM -Tier 1)

dailymail.co.uk/sport/football…
 
Back
Top Bottom