Haujakosea, Chelsea ilianzishwa mwaka 1905, ikachukua kombe la kwanza 1954/55, hiyo ni miaka hamsini. Arsenal ilianzishwa mwaka 1886, ikachukua kombe la kwanza 1930, hiyo ni miaka 44. Tofauti iliyopo ni kwamba Arsenal wakiwa daraja la pili mwaka 1919 walimaliza wakiwa wa nafasi ya tano, hivyo hawakustahili kupanda daraja, lakini walipandishwa kwa mgongo wa nyuma baada ya mwenyekiti wao Henry Norris kutoa hongo kwa jamaa wa football league, kwa maana hiyo hiyo miaka 44 ingeweza kabisa kuwa zaidi ya hapo kama wasingepandishwa. Huo ndio mwanzo wa brown envelope kwenye soka la England, na Arsenal ndio waasisi wenyewe....hawajawahi kupanda daraja on football merit. On the other hand, Chelsea earned their promotion from second division to top flight league through results on the pitch.
For the past 6 years, Arsenal have won nothing, whereas Chelsea have won 6 major trophies plus 2 Community Shield.
Q: What's the difference between a Chelsea supporter and an Onion?Na mbwiga haswa huyo jamaa! Chelsea hawajakaa miaka 50 bila kikombe chochote, labda kama anaongea kuhusu First division/EPL au muda tangu kuanzishwa kwa timu na kikombe cha kwanza.
Let's not distort history, unapoongea kuhusu historia ukumbuke historia haijaanza miaka sita iliyopita, now ngoja nikukumbushe historia ya kilabu ya chama kubwa ya London.
here is a brief Arsenal Honours for your benefit:
Domestic:
First Division (until 1992) and Premier League 13 (3rd overall in England only behind ManU and Liverpool)
Winners : 1930–31, 1932–33, 1933–34, 1934–35, 1937–38, 1947–48, 1952–53, 1970–71, 1988–89, 1990–91, 1997–98, 2001–02, 2003–04
FA Cup: 10 (second only to ManU)
Winners : 1930, 1936, 1950, 1971, 1979, 1993, 1998, 2002, 2003, 2005
Arsenal wameshinda double FA na League cup mara 3 (1971, 1998 na 2002) rekodi sambamba iliyofikiwa na ManU tu.
FA Community Shield (FA Charity Shield before 2002) 12
Winners : 1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991 (shared), 1998, 1999, 2002, 2004.
Now inabidi ufahamu Arsenal ni timu yenye historia na inayojivunia kujiendesha kimapato wakati Chelsea ni timu tegemezi under dictactorship of Roman, leo hii Roman akiamka vibaya na kumfukuza Villa boaz ama yoyoyte yule hakuna atayethubutu kumpinga, akisema aondoke leo hii mishahara kwa wachezaji wote itagoma na kuifanya timu isambaratike, eti pride of London? Toy of Abramovich is the right term fella.
Q: What's the difference between a Chelsea supporter and an Onion?
A: No one cries when you chop up a Chelsea fan!
Q: Santa Claus, the Tooth Fairy, an Intelligent Chelsea supporter and an old drunk are walking down the street together when simultaneously they each spot a fifty quid note. Who gets it?Mbwiga mwingine huyu!
When emotion is high - Intelligence is low
Q: What is the difference between a Chelsea fan and a Battery?Naona mzee wa plagiarism uko kazini kama kawaida yako.
You can't deny the statistics that I have presented to you, now if you have different statistics other than presented above then please enlighten us.
Q: What is the difference between a Chelsea fan and a Battery?
A: A battery has a positive side!
1. Four surgeons are taking a coffee break:Wapi nimekataa statistics?
Wewe umekurupuka kujibu post yangu. Niliongea jinsi Chelsea ilivyochukua 50 tangu kuanzishwa mpaka kuchukua major trophy; Arsenal iliwachukuwa miaka 44 pamoja na kubebwa kuingia first division baada ya hongo kutembea. Wewe umechagua tu kisehemu cha mwisho katika post yangu, punguza emotions, jibu the whole damn thing!!
​Kweli Man UTD ni noma aisee...........hadi arsenal fans wanakubali.Let's not distort history, unapoongea kuhusu historia ukumbuke historia haijaanza miaka sita iliyopita, now ngoja nikukumbushe historia ya kilabu ya chama kubwa ya London.
here is a brief Arsenal Honours for your benefit:
Domestic:
First Division (until 1992) and Premier League 13 (3rd overall in England only behind ManU and Liverpool)
Winners : 193031, 193233, 193334, 193435, 193738, 194748, 195253, 197071, 198889, 199091, 199798, 200102, 200304
FA Cup: 10 (second only to ManU)
Winners : 1930, 1936, 1950, 1971, 1979, 1993, 1998, 2002, 2003, 2005
Arsenal wameshinda double FA na League cup mara 3 (1971, 1998 na 2002) rekodi sambamba iliyofikiwa na ManU tu.
FA Community Shield (FA Charity Shield before 2002) 12
Winners : 1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991 (shared), 1998, 1999, 2002, 2004.
Now inabidi ufahamu Arsenal ni timu yenye historia na inayojivunia kujiendesha kimapato wakati Chelsea ni timu tegemezi under dictactorship of Roman, leo hii Roman akiamka vibaya na kumfukuza Villa boaz ama yoyoyte yule hakuna atayethubutu kumpinga, akisema aondoke leo hii mishahara kwa wachezaji wote itagoma na kuifanya timu isambaratike, eti pride of London? Toy of Abramovich is the right term fella.
Kama hayo ni kweli,tutajua huko mbele.Blackburn ace Chris Samba pleads for switch to Arsenal
CHRIS SAMBA has stunned Blackburn by pleading: Let me join Arsenal.
Read more: Blackburn ace Chris Samba pleads for switch to Arsenal | The Sun |Sport|Football
Blackburn hawajamzuia tatizo ni kwamba Arsenal hawaja make offer yoyote .Blackburn ace Chris Samba pleads for switch to Arsenal CHRIS SAMBA has stunned Blackburn by pleading: Let me join Arsenal.Read more: Blackburn ace Chris Samba pleads for switch to Arsenal | The Sun |Sport|Football
Naona kama amekanusha uvumi huo.Blackburn hawajamzuia tatizo ni kwamba Arsenal hawaja make offer yoyote .
Kweli kabisa AW, mie mwenyewe ningependa aondoke, ila tatizo linakuja, hatuwezi kumuuza kwenye asioitaka yeye Nasri na kwa mkataba anaoutaka yeye Nasri, tuko njia panda.
Vile vile hatuwezi kumuuza Man City au Man U wala Cheslski.
Sasa Prof naona kaamua kumuacha kama vile amalize huu mwaka wake, lakini Prof ni mjanja mno, huwezi jua kitakachotokea huko mbele, msimu mrefu, Nasri anaweza kubadili mawazo.
By the way, Fabregas sio wetu, hatutaki tena, naona mpaka Jmosi hii, atakua kaondoka kabisa, na tena tungemsafirisha mpaka uko Barca, mpuuzi kabisa yule.
Try to be grateful, Fabregas gave you all he could to win some trophies! It's not his fault Arsenal keep on conceding loads of silly, comical goals, it's your League One defenders and goalkeepers to blame....and, of course the guy who never accept his team's weakness, Prof. Whinger.
Kumbuka Fabregas ndiye aliyetoa pasi ya kisigino kwa wenzake wa Barcelona, tena katika eneo la hatari, wakafunga goli lililoimaliza kabisa Arsenal !
Kwa miaka nane aliyokaa Arsenal amefanya kosa kama hilo mara ngapi, so far nafikiri hiyo ni isolated case katika muda wote aliokaa hapo maktaba ya Imarati na huwezi kusema hilo kosa ndio limesababisha hamjachukua kikombe chochote kwa miaka saba. Ni rahisi sana kumlaumu kwa sasa kwa sababu tu anataka kuhama, lawama zenu zinajengwa na chuki zaidi kuliko facts....Arsenal are sore losers, now you are shamelessly blaming Fabregas for your failure just because he tries to abandon a sinking ship. The irony is, if he chooses to stay, you guys will come up with loads of hypocritical praise for el capitán blah blah blah and BS like that.
Sio siri, naona gooners tumevamiwa, huyu bwana sijui hana timu ya kuidiscuss mpaka kateleza kwetu!
Ila ndio demokrasia, wacha aseme yake na apate furaha ya moyo!
Na tungemshauri aangalie matatizo ya timu yake kwanza kabla ya kutueleza/kutunga matatizo ya timu yetu!
Kazi tunayo gunners!
Arsenal made him! he is the one ambaye anatakaiwa awe greatfull & loyal ...! angekuwa barca unafikiri angepata nafasi 1st team kipindi kile ana miaka 16 ???!!!! " yeye mwenyewe alishawahi kuongea hivyo" wenger alimchukuwa wakati barca walikuwa wanamuona ni mtoto tu! akikua ataacha ... acha acheze socer kwa kujifurahisha!
Who is more responsible than a captain in the pitch?
[MV MAPENZI II - Mlimani Park Orchestra]
Pooooooooooooooooo,poooooooooooo
EEE bwana unanisikia, ndio nakusikia,Eeh endelea,
tulipokuwa tukisafiri, Tulikutana na dhoruba,
Eeh ,
mawimbi yalikuwa makali sana, Eeh na bahati mbaya
nakusikia endelea.
nahodha alikuwa muoga, akajitosa baharini
kajitosa baharini?
Ndio kajitosa baharini
Lakini mabaharia kwa ushirikiano wao safari inaendelea..
Poooooooooo,poooooooo
Kuchafuka kwa bahari sio mwisho wa safari nasema,
Meli yetu ilipokumbwa na dhoruba,
Nahodha kajitosa baharini eeeeh
For how long has he been a captain? Not seven years! Kila mtu anajua kwamba Fabregas sio captain material lakini Whinger kalazimisha awe captain kuzuia asiame timu, sasa hilo ni kosa la nani? Nutty professor is to blame for all seven years of your demise!
Acha hizo mkuu, Barcelona made him, NOT Arsenil. Arsenal walimchukua akiwa na miaka 16 na akapewa chance akiwa na umri huo, this means alikuwa tayari anafit kwenye mipango ya first team, amekuja akiwa tayari kucheza first team kwa Arsenal standard. Wenger alichofanya, na ambacho anaendelea kufanya mpaka leo ni kuvizia na kuiba watoto wa Barcelona ambao hawajasign professional contract. Kumbuka sheria za Spain haziruhusu kusign mtoto wa miaka 16.
nimegundua kitu kimoja .. wewe ni ANTI ARSENAL....!! kama barca walikuwa wamemuona yupo tayari alipokuwa na 16 years ! kwa nini walimruhusu aondoke ?!
maneno ya cesc haya
malizia mweyewe hapa Read btw lines febragas alipokuwa barca he was no body!!!!: Cesc Fabregas tells Arsenal he wants to join Barcelona | Mail Online
Kwa standard za Barcelona, yes alikuwa bado hajafikia kiwango by the time....lakini kwa standard za Arsenal alikuwa tayari kucheza first team baada ya kupata mafunzo kwenye academy ya Barcelona. Tatizo lenu mnataka kuchukua credit ya kwamba ametengenezwa na academy yenu, kitu ambacho si kweli. Kuongezeka kiwango chake kwa kucheza mara kwa mara kwenye first team ndio credit anayotoa kwa Nutty professor, hii ni kawaida kwa mchezaji yeyote mwenye kipaji kama chake. Na una uhakika gani kama angeshindwa kuingia first team ya Barcelona kama angesuburi kwa mwaka mmoja au miwili? The only reason kwamba aliweza kupata nafasi Arsenal mapema, ni kwamba kiwango cha Arsenal kiko chini ya Barcelona, na Nutty professor anatumia loophole kuwapa professional contract watoto wa Barcelona, period!
I'm just telling truth! Najua washabiki wengi wa Arsenal ni MYOPICkama kocha wao, hivyo sishangai comments zako! Ebu tujikumbushe viroja vichache tu vya Nutty professor hapo chini, unaweza kuongezea vingine pia:
10) Following the altercation between Emmanuel Adebayor and Nicklas Bendtner in the League Cup tie against Spurs, January 2008 "I did not know anything about it. I didn't see it."
9) Following a seemingly offside goal from Robin van Persie against Chelsea at Stamford Bridge, November 2008 "I do not want to score offside goals but I didn't see that, frankly."
8) Following Sol Campbell's foul on Wayne Rooney which led to a penalty against Manchester United, October 2004 "I think we were a little bit robbed. I didn't think there was any contact at all."
7) Following the infamous Pizzagate incident after the same game, October 2004 "I don't know about food throwing. I did not see if something was thrown – you'll have to ask someone else, because I don't know."
6) Following the alleged spitting incident involving Cesc Fabregas at the end of the FA Cup tie against Hull, March 2009 "I know nothing about that at all. I'm sorry, I can't speak about something I haven't seen."
5) Following Emmanuel Eboue's sending off for two yellow cards against Tottenham, February 2009 "The first yellow card was very harsh. I didn't see the second one."
4) Following Sol Campbell's serious foul on Eric Djemba-Djemba of Manchester United in the Community Shield, August 2003 "I didn't see Sol's challenge."
3) Following an incident against West Ham when Dennis Bergkamp appeared to strike Lee Bowyer in the face, January 2003 "It did not look intentional. Dennis caught him with the elbow but the player ran into him."
2) Following claims that Ashley Cole pushed Nicolas Anelka during a match against Manchester City, February 2004 "I didn't see that Ashley pushed him in the face. If the replays show it, then it's the referee's problem."
1) Following newspaper photos depicting Arsenal captain William Gallas smoking a cigarette in a nightclub, October 2008 "I didn't see the picture."
Mkuu umeniacha niangue kicheko! haya bana! shujaa wewe .. umeshinda :A S thumbs_up:
Man u bana!
Nope! I ain't Manure!
Blue is the Colour, Chelsea is Pride of London.
sawa mkuu! but all in all you are gooners hater .. there isn nothing good about arsenal & arsene wenger katika maono yako.. so inakuwa ngumu kidogo kuweka mjadala na mtu kama wewe
That's your way of interpreting things. Tumeongelea situation ya Fabregas peke yake, lakini wewe umeconclude kwamba ninachukia everything about Arsenal, very strange reasoning!!!! If you want to know,
I like your seven trophyless years, may it continue to twenty like Losefool in EPL!
I like your new trophyless stadium!
I like your plastic prawn sandwich fans who can't sing or cheer during the game in that Emirates library!
I admire your achievement in Emirates cup, you are the only winner since it was introduced! Wait, did I say you're trophyless for years?!
I like it when I see Lukasz Flappyhandski is on the pitch only to be replaced by the mighty Almunia!
I enjoy seeing Nutty professor getting agitated on the touchline, kicking everything in front of him including water bottles and his assistants!
I don't hate Arsenil, hate is a strong word.
Arsenal hawajakaa miaka 50 kama Chelsick bila kikombe chochote Ooops whose speaking another mafioso, ..... ..... young one khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ohhhh its peas of ant khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Mbwiga mwingine huyu!
Na mbwiga haswa huyo jamaa! Chelsea hawajakaa miaka 50 bila kikombe chochote, labda kama anaongea kuhusu First division/EPL au muda tangu kuanzishwa kwa timu na kikombe cha kwanza.
Haya wewe statistician peas of ant twambie mlikaa miaka mingapi kabla ya kikombe chochote, nafahamu huwezi hata kusema kwa sababu unafahamu na ninajua mko karibu ya miaka 50 kama unabisha weka ushahidi hapa ukisaidiwa na kikojozi i.e. padre bandia Masanilo. usitie gelesha ya first division/EPL hususan kabla mafioso mkuu Abraham O Vich hajatua kwenye cowshed. Be honest once in your life.
Haujakosea, Chelsea ilianzishwa mwaka 1905, ikachukua kombe la kwanza 1954/55, hiyo ni miaka hamsini. Arsenal ilianzishwa mwaka 1886, ikachukua kombe la kwanza 1930, hiyo ni miaka 44. Tofauti iliyopo ni kwamba Arsenal wakiwa daraja la pili mwaka 1919 walimaliza wakiwa wa nafasi ya tano, hivyo hawakustahili kupanda daraja, lakini walipandishwa kwa mgongo wa nyuma baada ya mwenyekiti wao Henry Norris kutoa hongo kwa jamaa wa football league, kwa maana hiyo hiyo miaka 44 ingeweza kabisa kuwa zaidi ya hapo kama wasingepandishwa. Huo ndio mwanzo wa brown envelope kwenye soka la England, na Arsenal ndio waasisi wenyewe....hawajawahi kupanda daraja on football merit. On the other hand, Chelsea earned their promotion from second division to top flight league through results on the pitch.
For the past 6 years, Arsenal have won nothing, whereas Chelsea have won 6 major trophies plus 2 Community Shield.
Let's not distort history, unapoongea kuhusu historia ukumbuke historia haijaanza miaka sita iliyopita, now ngoja nikukumbushe historia ya kilabu ya chama kubwa ya London.
here is a brief Arsenal Honours for your benefit:
Domestic:
First Division (until 1992) and Premier League 13 (3rd overall in England only behind ManU and Liverpool)
Winners : 1930–31, 1932–33, 1933–34, 1934–35, 1937–38, 1947–48, 1952–53, 1970–71, 1988–89, 1990–91, 1997–98, 2001–02, 2003–04
FA Cup: 10 (second only to ManU)
Winners : 1930, 1936, 1950, 1971, 1979, 1993, 1998, 2002, 2003, 2005
Arsenal wameshinda double FA na League cup mara 3 (1971, 1998 na 2002) rekodi sambamba iliyofikiwa na ManU tu.
FA Community Shield (FA Charity Shield before 2002) 12
Winners : 1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991 (shared), 1998, 1999, 2002, 2004.
Now inabidi ufahamu Arsenal ni timu yenye historia na inayojivunia kujiendesha kimapato wakati Chelsea ni timu tegemezi under dictactorship of Roman, leo hii Roman akiamka vibaya na kumfukuza Villa boaz ama yoyoyte yule hakuna atayethubutu kumpinga, akisema aondoke leo hii mishahara kwa wachezaji wote itagoma na kuifanya timu isambaratike, eti pride of London? Toy of Abramovich is the right term fella.
When emotion is high - Intelligence is low
Kweli
Naona umemuweka sawa huyu peas of ant akirudi basi kama unavyojua silika ya wauza unga kuanzia Abraham O vich , JT, Lamps na wizi koko hadi washabiki wao kazi kweli kweli khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hala hala pale darajani naona cash cole kakaa na gobole lake tayari.
You can't deny the statistics that I have presented to you, now if you have different statistics other than presented above then please enlighten us.
Q: What's the difference between a Chelsea supporter and an Onion?
A: No one cries when you chop up a Chelsea fan!
Naona mzee wa plagiarism uko kazini kama kawaida yako.
Wapi nimekataa statistics?
Wewe umekurupuka kujibu post yangu. Niliongea jinsi Chelsea ilivyochukua 50 tangu kuanzishwa mpaka kuchukua major trophy; Arsenal iliwachukuwa miaka 44 pamoja na kubebwa kuingia first division baada ya hongo kutembea. Wewe umechagua tu kisehemu cha mwisho katika post yangu, punguza emotions, jibu the whole damn thing!!
What a wonderful pre-season!! Loads of banter already, please bring back football we're starving.
BTW, I wish you Fat Arses tough luck, LOL!!
KTBFFH
mwana unatukubali gooners japo kimya kimya!! maana huchezi mbali na hii thread!... chelsea sio kabila mkuu unaweza tu kubadili timu ...
Wanakwambia ni rahisi kwa mtu kubadilisha dini lakini sio timu anayoishabikia.mwana unatukubali gooners japo kimya kimya!! maana huchezi mbali na hii thread!... chelsea sio kabila mkuu unaweza tu kubadili timu ...