Eneo moja ambalo tutazungumza lugha moja ni kwenye eneo la usajili.
Tunahitaji watu haswa,
Saka anahitaji a very competitive RW wa kumchallenge na kumpumzisha baadhi ya mechi na kwa muono wangu anatakiwa awe technical na tactical traits ambazo ni tofauti na SAKA ili kumuoffer mwalimu chaguzi tofauti kulingana na mpinzani
False 9/link up play striker?
Kwangu ndiyo na hapana.kwa baadhi ya mechi kina jesus na style zao watakusaidia.ila kuna mechi unaweza ukatengeneza clear chance 2 tu out of 90 minutes na hapa ndo utagundua jesus na nketiah hawakuvushi.
Anahitajika striker ambaye ni killer,brutal,physical na more ni lethal.Epl haihitaji mchezo.barcelona hakuwa mjinga kumnunua lewandowsk na pep sio taahira kumnunua halland.
LB.huku hatuna mtu.zinchenko hapana,tierney prone injury. Atafutwe mtu katili ambaye kila winga atamuwazia.option iwe ni uwezo wa kulinda kwanza.
RB.huku tuna spare tyre.tomi injury prone,white hapana analazimisha na kwa mechi zenye presha unamuona anatera.slow pace hafai hapa japo anasaidia.Atafutwe mtu haswa aje akae hapo.
NAMBA SITA(lone six) jamani partey ni mtu ila tunahitaji mtu zaidi yake.anakupa flexibility,eagle eye kwenye pass,coverage kwenye safu ya ulinzi, anatawanya mipira na anakupa pass ya mwisho.Jamaa ni prone injury,aged kwa sasa,fatigue inamnyemelea kwa kutumika sana na kuna muda anapoteza tempo na hana ule ulatili wa asili wa namba sita.we need a BEAST.atatoka wapi? Kazi ya scouting hiyo.
NAMBA 8 CAM(driver)
Shaka anakupa matured mentality,shots and trios,physicallity,Ukatili,leadership and sometimes passes.Anakunyima pace kwa transitional teams,lacking flexibility,hana brain na traits za driver namba nane.jamaa ni old testament 8.mgumu mno.ATAFUTWE MTU HASA.
Anyway kama tunataka kuchukua makombe hakuna namna hela itoke waje watu hasa.usajili wa viraka hautatusaidia bora kutibu magonjwa yote kwa dirisha moja ili tupime uwezo wa kocha
Dah we love arsenal