Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Hata kituo walicho mshikilia ndg yetu @hamiss77 hakijawekwa wazi maana tuhuma anazotuhumiwa nazo hazina dhamana.
 
Mkuu naelewa sana hasira zako.. Kiukwl tukiacha utan pemben Arsenal kuja had ichukue ubingwa wa ligi au makombe ya maana(I mean Uefa au Hata Europa) sio leo wala kesho.

Pa1 mapenz ya team ni ngumu kuacha lkn kama umeamua ilo asee bas krb city huku walau upoe kwa mda kdg ukienjoy raha ya kushinda maana kisaikolojia naona kbs ume give up khs ubingwa na Arsenal baada ya high hopes mlizokua nazo msimu huu..ningeshaur Dunian kote madaktar wawe krb na shabik wa Arsenal maana kwa hopes ambazo walizokua nazo weng wanaweza pagawa kua. Hata vichaa.. Weng walijua ni wkt wao.
 
Umefanya uamuzi mzuri, muachie hilo tambala bovu ndugu hamis77 limuue.
Unafikir huyu @hamiss77 bado ni mshabik wa Arsenal huyu hata saivi?

Huyu mzee ni shabik oya oya.. Ww shabik gn wa Arsenal kwny matokeo mabaya anajificha hatak hata kuonekana sehem yoyote.. Utasema vp huyu mtu hajaisalit Team bd.. Huyu @hamiss77 ni shabik maandaz au shabik oya oya yy alikuwepo tu kwny nyakat nzr nyakat Mby kamicha kwa mbio nyng sana
.. Bora hata huyu mwenzake anayekuja kuandika bado hapa jukwaani kwao anatoa makala ya kuhama team...@hamiss77 huyu ni TERRORIST akamatwe awekwe ndan.
 
Yule Aaron Arsenal tuliyeambiwa kapoteza simu, siku ya ijumaa nilikuta kaposti komenti kwenye uzi wa yule jamaa anayeshangaa mademu kutongoza wanaume.

Nilikuta anauliza mbona yeye hapati hizo bahati za kutongozwa na wanawake?

Kutoka kuwa mchambuzi (uchwara) mpaka kuomba kutongozwa na wanawake


Ateta kamatia hapohapooo.
 
Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu imethibitisha kushabikia timu ya Arsenyani kunasababisha msongo wa mawazo hali inayochangia kwa kiasi kikubwa upungufu wa vichocheo vya homoni ya testosterone na kupelekea upungufu wa nguvu za kiume.
Hali hii huleta mfadhahiko kwa vijana wengi wanaoshabikia timu ya Arsenal na kupelekea wengi wao kujiingiza kwenye vitendo vya ushoga.
 
Arsenyani ni sawa na tambala bovu, halifai kwa kazi yoyote zaidi ya kupigia deki.
 
Shabiki wa kweli hahami timu. Wewe ni glory hunter tu.
 
Arsenal wamefungwa magoli 42 msimu huu.

Man United wamefungwa magoli 41.

Arsenal wamefungwa Emirates mechi 2.

Man United wamefungwa Old Trafford mechi 1.

Man United wamefika fainali 2 za League Cup na kubeba Carabao Cup. Wapo top 4 na wanaweza kubeba makombe 2 mwisho wa msimu.

Kipindi chote cha msimu Arsenyani walikuwa wanajisifu kucheza mpira mzuri. Mtuambie sasa wenyewe kati ya timu yenu Arsenal na Man United, nani ana project nzuri na nani amekuwa na msimu bora?
 
 
Kukupinga itakua ngumu sana mkuu.

Izi facts zako sihitaj hata source yako zinajieleza na kujitosheleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…