Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ok
 
Nilikuwa napitia Social media mbalimbali , mashabiki wengi hasa manjesta wamekaa wanatuombea mabaya wakiwa wanatembea na fixtures yetu wanadai Ni ngumu Sana hatuwezi kutoboa

Huenda tukishinda kesho tutarajie kusikia wengi wakifa kwa presha
Sawa mkuu
 
Sawa, tutaona
 
Hizi game za kuelekea ubingwa, inabid zichezwa kama fainali vile.
Umakini uliotukuka, kuepuka makosa ya hovyo na kutumia nafasi kwa uzuri kbs.

Tunaanza sherehe za ubingwa leo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ubingwa upi sasa??
 
Sawa. Hua najitahidi kujudge mchezaji kwa ninavyomuona siyo kwa ninavyotaka awe.

Ikiwa Jorginho hawezi kukaba hata umuandikeje hatoanza kukaba leo

Jorginho kazi yake sio kukaba kazi yake ni kuupiga mwingi.
 
Jorginho kwa mechi chache alizocheza kasharecord man of the match performance think 2/3 times. Hii maana yake nini? Hii timu imeundwa kwa mchezaji aina yake, not the other way around.
U mean, nje ya Arsenal mchezaji aina ya Jorginho ni Rice pekee???
 
Arsenal huu ndo ulikuwa msimu wenu,,,,poleni kuja kushinda tena PL sio Leo wala kesho!
Next season kuna timu zitafungulia busta zote, this time ilikuwa kitonga tu
Kwan timu gan haikufungulia busta??? Kbl ya ligi kuanza hata kwenye 6 bora hamkutufikilia,
Rank ya arsenal inapanda kila msimu jidanganye useme msimu ujao hamna kitu ndo tutakushangaza.
 
Jinsi Madrid inacheza

Watu watatu wanatafuta goli mbele ya 5 hii inakupa picha tunatakiwa kujipanga zaidi
 
Naangalia mechi ya Madrid na City kisha naona jinsi magoli ya Madrid yanavyyopatikana na kutafutwa na ninaona ni sahihi zaidi nisipoenda UEFA huku nina matarajio makubwa. Pep's game plan was shattered watu watatu wanaamua kwenda kutafuta goli na wanalipata. Hii ndiyo timu unakutana nayo huku ukiwa na kikosi finyu cha kutembea michuano yote
 
TAITO KUNITENDA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…