Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji23][emoji23][emoji23] tena wakumbushe maana binaadamu tumeumbiwa kusahau, tarehe 1 ya mwezi ulioisha Arsenyau alikua anaongoza ligi kwa tofauti ya points 8 dhidi ya Mancity.Naumia kuona Mpaka hamis77 kakimbia jukwaa sababu ya hii timu kimeo Yani msimu mzima mmetoka bila hata kombe la kuuzia sura.
Poor arsenyani.