Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ninachohofia ni battle ya Salah v Zinchenko.. Salah akiamka vizuri ule upande kazi tunayo.

Na Salah ana kawaida ya kubaki kwenye mstari wa kati kipindi wapinzani wao wakienda kucheza kona ili kuwasaidia kwenye counter attacks.. sijui itakuaje mana beki wa kuzuia hizo alikua ni Saliba ambae ana speed, nguvu na uwezo mzuri wa kudefend.

Holding asije akatufanyia ujinga this time.
Huyo Rob holding huwa simwamin sawa na yule Chambers cjui yuko wapi ck hz
 
Mkuu km huyo T.A.A alikimbizwa na mshusha sox kweli ataweza mziki wa Martinell, yule mtoto utafikir kafungwa mota miguun anavyoteleza
Martinell huwa anamkimbiza Sana , mechi ya mwisho Emirates ,kabla Klopp alibwata Sana alipoambiwa TAA sio mzuri defensively , ile mechi inaanza tu Goli linapatikana upande wa TAA , ile mechi tulipata 2 goals upande wa TAA, akamtoa haraka .
 
Kuna uwezekano Saliba akawepo

Tuna majeruhi wawili Nketiah & Saliba


Arteta akizungumzia Hali ya majeruhi


"Tuna matumaini na mmoja wao, kesho labda anaweza kufanya mazoezi. Itabidi tuone. Sitakuambia! [NI NANI]."

Mikel Arteta anasema hakuna habari mpya za majeruhi ukitoa(Saliba,Nketiah na Elneny) lakini anasema mchezaji ambaye hajatajwa jina anaweza kuwa sawa Kuivaa Liverpool wikendi hii.
 
[emoji599] NEW:

Arsenal boss Mikel Arteta has confirmed that Bukayo Saka is fit and available for this weekend's clash against Liverpool. #lfc [football london]
IMG_20230407_140921.jpg
 
Blast that tune gooners!!![emoji445][emoji445][emoji445]

North London forever

Whatever the weather these streets are our own

And my heart will leave you never

My blood will forever run through the stone

[emoji3590][emoji1430][emoji1430][emoji3590]
IMG_20230302_081124.jpg
 
[emoji860] Arteta on the match at Anfield:

"First of all, it’s a different group, we're coming from a different position [to previous games] & what I see is enthusiasm, positivity...& courage. Courage to play, impose yourself on the game & be dominant. Sunday we'll try to be that team."
IMG_20230407_182958.jpg
 
Kocha kasema Tufurahi

“We do enjoy it, we have to enjoy it and we really need to embrace the moment and go for it.”

Mikel Arteta on the title race
IMG_20230303_213414.jpg
 
Vipigo tu tumeambulia..tena vizito
[emoji419] Liverpool wanaenda kukutana na Arsenal yenye ubora zaidi kuliko game ya Kwanza ikiwa na nidhamu zaidi kwa matokea ya hivi karibuni pamoja na kuwa na wachezaji muhimu kwenye safu zote

[emoji419] Saliba kukosekana ni pigo ila kwa mfumo wa Arteta timu inacheza kwa umoja hivyo uwepo wa Zinchenko utaondoa pressure kubwa kwenye safu ya ulinzi..

Partey kucheza nyuma zaidi kumlinda holding ni kitu ambacho tumekishuhudia kwa michezo 3 Sina wasiwasi

[emoji419] Zinchenko uwepo wake utaifanya Liverpool ichezee kwa kuvizia mfano Mzuri tuliona Man City walivyomtumia Stones ku invert zaidi ambapo city wali win Sana,hivyo uwepo wa zinchenko utatupa ubora kutengeneza mashambulizi

[emoji419] City kumtumia Alvarez ku drop ili ku link na wenzake kuliifanya safu ya ulinzi ya Liverpool kupoteana the same way kwa Arteta akiamua kumtumia Jesus katika safu ya ushambuliaji..namuonajesus akianza mbele ya Trossard

[emoji419] Liverpool midfielder zone Yao ilikuwa inashindwa ku link na winger zao kabisa katika game yao na city hivyo sitarajii kumuona Liverpool katika ubora wa kiungo kuishinda ARSENAL..

Ingawa Liverpool wanakuwa Bora Sana kwenye counter ila tegemeo lao huwa Ni fullbacks TAA na ROBERTSON ...Hawa watacheza chini mbele ya SAKA na MARTINEL

[emoji419] NIDHAMU ya kucheza game za away inatubeba Sana tukijizolea point 34 kuliko hata city wanaemuita bingwa.. Wanaosema Liverpool ana rekodi nzuri home wakumbuke Arsenal inaongoza Kushinda game za ugenini pia

Naipa Arsenal ushindi


Liverpool 1-3 Arsenal

#COYG[emoji109]
 
Kwanza Ratiba ime tu favor sana! Tumepata muda wa kupumzika almost week nzima! Hakuna sababu ya kupoteza hii game! Lakini kwenye football suprise ni nyingi. Ni hayo tu
#Tuwe na akiba ya maneno
#COYG[emoji2936][emoji2935]
 
Nilikuwa napitia Social media mbalimbali , mashabiki wengi hasa manjesta wamekaa wanatuombea mabaya wakiwa wanatembea na fixtures yetu wanadai Ni ngumu Sana hatuwezi kutoboa

Huenda tukishinda kesho tutarajie kusikia wengi wakifa kwa presha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom