IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,748
- 7,110
Amini nawaaambia epl haiko mbali hii misimu miwili na CL itakuja Emirates arteta anapenda challenges na sio muoga that's why naamini Kuna kitu kinakuja
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kua na subra mim nimeshabikia kitambo Sana hii timu na nimeona kipindi kigumu tulichopitia ila kwasasa nauhakika tumerudi kwenye njia na tutafanya vizuri zaidi ligi hii inachallenge nyingi kikosi chetu ni kimoja Hilo ndio tatizo basi na kocha analijua hivyo tegemea mabadiliko makubwa sanaUmeanza kushabikia arsenal mwaka gani? Msimu wa kuchukua ubingwa ulikua ni huu tumekosa tusahau tena.
Game 2 westham& Southampton there is no excuses kwenye game hizi 2 hasa ya Southampton home emirates ile game ilifanya nione arsenal ni ile ile jana leo na milele ( losers) . Arsenal kunzingua hatujaanza leo fuatilia 2016 , na ule mwaka ramsey yupo hot tofauti na miaka mingine mwaka huu tumechelewa kuzingua
Wajumbe msikieni huyu nguchiro.Baada ya kupoteza Vs City tumepiga WIN 7 DRAW 1
Kesho tunaanza Tena WIN 7 DRAW 2
Halafu mtaniambia Huyo bwana wenu city atabebea wapi huo UBINGWA
Taratibu tutaelewana tu.Kudai kwamba mtapiga kirungu kila mtakayekutana naye ni uongo
Mrejesho tafadhaliWithout Partey and Jesus ,huku tukiwa na Nketiah aliyekuwa injury ,City almost alicheza counter attack whole game
Nachelea kusema Pale kwake kazi anayo
Saka alisema Tazama city wanakuja hapa wanapaki Basi utaelewa hatuogopi yeyote
Kwa wanaoangalia matokeo sio performance hawataelewa ndio wale tuliokuwa tunawaambia Manjesta na Spurs hawawez kugombea ubingwa wakawa wanakataa
Now Manjesta anapambania Kubaki top 4 au kucheza Europa na mwenzie Spurs
mna game week after week ausio.Tuna kikosi na team nzuri sana safari hii,mentality ishawaingia hadi vijana wadogo tulionao uwepo wa Jorginho,zinny,jesus na Arteta mwenyewe sina wasiwasi na game zilizobaki, uzur tuna game week after week tofauti na City katikat ya week wana game.
mtupe mrejesho sasa mmefikia maamuzi mkatangazie ubingwa wapi?Hakuna ku drop points had mechi ya 32 Kisha tutaona tukatangaze ubingwa mechi ipi katika zile 6 za mwisho
View attachment 2530498
Anayecheka mwishoni hucheka sana.Taratibu tutaelewana tu.
Sikia hiki kichekesho eti kibahati bahati bro Mpira una njia zake kwanzia msimu huu arsenal pungufu yake ni kumaliza msimu na point 80+ Sasa tunajipanga kuongez ziwe 90+ biashara iwe inaisha mapema sahau arsenal kurudi ilipotoka nimeukosa ubingwa yes lakin Kuna vitu vingi postive nimeshuhudia mwenyewe ambavyo kwa pale uingereza anvyo cty na liver hakuna wakutufuata tena na wambiaUkitaka ujue akili za mashabiki wa arsenyani ni mbovu huyu jamaa aliwaambia ukweli mliishia kumtusi dharau na kejeri kikowapi Sasa.
Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.
Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.
Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.
Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.
Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu kama Saliba na Margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo kama yule.
Uchukue ubingwa Nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao Leicester walikuwa na Vardy, Ngolo, Mahrez walikuwa wakali kuliko saka, Martnel na Partey.
Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.
Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa EPL hawachukui.
Na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wa kiutu uzima zaidi kama alivyo Ancelot wa Madrid.
Mpira hauko hivyo unavyofikiri ndio maana cty nae alifungwa na Brentford akadraw na nottingham tatizo washabiki wengi tunachambua kihisia kuliko fact na stats za kimpira Kama Kuna mtu anasema arsenal iko kibahati pale juu timu Ina goal difference ya 42. Anakwambia hata challenge tena ubingwa ile form imetafutwa na Kuna vitu vingi vimekua improved n amakocha wote dunian wanasema viera kasema pia tutaendelea vizur saivi tuko mbali na sioni tukirudi tulipotoka saivi tunauwezo wa kusajili mchezaji yeyote yule tumerudi uefa kipi kitashindikana? Liver aliesubir miaka 30 kuwin pl nae kiukweli tunatakiwa tu appreciate kuliko tulipotoka saivi tungekua tuna hangaikia uropa bila daliliArsenal team yangu imezngua Sana , Ubingwa haubebwi kwa hisia ni mpango kazi , unaongoza point 8 na umebakiza mechi 9 unashindwa kukaza kweli ety kikosi kwan southampton na west ham Wana kikosi gan had wakupigishe droo .
Ugese huu .
Mpira hauko hivyo unavyofikiri ndio maana cty nae alifungwa na Brentford akadraw na nottingham tatizo washabiki wengi tunachambua kihisia kuliko fact na stats za kimpira Kama Kuna mtu anasema arsenal iko kibahati pale juu timu Ina goal difference ya 42. Anakwambia hata challenge tena ubingwa ile form imetafutwa na Kuna vitu vingi vimekua improved n amakocha wote dunian wanasema viera kasema pia tutaendelea vizur saivi tuko mbali na sioni tukirudi tulipotoka saivi tunauwezo wa kusajili mchezaji yeyote yule tumerudi uefa kipi kitashindikana? Liver aliesubir miaka 30 kuwin pl nae kiukweli tunatakiwa tu appreciate kuliko tulipotoka saivi tungekua tuna hangaikia uropa bila dalili
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nakukumbusha tu Liverpool ya Brendan rogers aligombea ubingwa na city uliza msimu uliofata kilitokea nini.Sikia hiki kichekesho eti kibahati bahati bro Mpira una njia zake kwanzia msimu huu arsenal pungufu yake ni kumaliza msimu na point 80+ Sasa tunajipanga kuongez ziwe 90+ biashara iwe inaisha mapema sahau arsenal kurudi ilipotoka nimeukosa ubingwa yes lakin Kuna vitu vingi postive nimeshuhudia mwenyewe ambavyo kwa pale uingereza anvyo cty na liver hakuna wakutufuata tena na wambia
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
City Wana bahati ya kubeba ubingwa mwishoni toka hata enzi ya kina Ferguson na Wenger sio kwa pep tu fatilia msimu wa.Mang'aa nyingine zitashinda ligi kibahati bahati siku Pep ataondoka epl.
experience kwa mwalimu na wachezaji wengi tegemezi wanaocheza arsenal ni tatizo jingineKufungwa na brentford ni huko katikati ya msimu , hapa tunaongelea mechi kubaki 8 sijuii kama unaelewa hili, mechi zimebaki 8 uwe bingwa , ndani ya dk 20 unaongoza 2 -0 then unarudishiwa goli zote kijinga inakuja game na Southampton unacheza ujinga pia arsenal mentality ya kibingwa haina , arsena l ni false hope kama unavyoona gemu muhimu tumezingua westham na Southampton hazikuwa zakuzingua then tunakuja kushinda game ya chelsea baada ya kukosa ubingwa umuhimu hapo ukwapi? Must wins game hushindi na hii sio tabia ya mwaka huu tu karibia misimu yote unakumbuka mwaka jana must win games ili kuingia top four tulipoteza tukaja shinda game za kipumbavu na everton magoli mengi yasiyokuwa na faida hii ndo maana halisi ya false hope !!
Must wins game za mwaka jana hatukushinda na must wins game za mwaka huu hatukushinda kifupi mentality ni ile ile hakuna kilichobadilika