Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
2015 upo form three , Sasa form three na 5 utofauti si miaka 2Sasa Mimi na wewe nani kijana?, 2015 me nipo 4m3, wewe umeanza kushabikia mpira lini??

,wewe ni rika letu ,,,Kwa haraka haraka Kwa miaka hio mtu akiwa form three means ulikuwa na miaka 17/18 means umezaliwa mwaka 1997/1998 .....Sasa Kwa mtoto ambaye kazaliwa mwaka 1998 huwezi kushabikia arsenal ,wewe utakuwa imeanza kuangalia football mwaka 2010 unamiaka 12 ,kutokana na poor technololgy mwaka 2000-2007 ulikuwa Dogo mna huwezi cheki mpira,access ilikuwa poor ,hata vijijin umeme ulikuwa Kwa manati ,mpira mingi ilikuwa ya usiku na ni wakubwa tu walikuwa wanacheki wewe mtoto ni either movie au ukalale ,tofauti na Leo hata mtoto wa miaka 5 anamjua mayele ,na ndio Hawa viraka wa arsenal unao waona walipokuwa wanashabikia arsenal 1998-2003 ndio fans wa arsenal wamerise ...
Mim nimeanza mpira kuangalia 2010 namaliza la Saba,maana nilikuwa mtu wa movie home ,na ndio ulikuwa umri wa mtu kuweza kuangalia mpira Kwa uhuru ,means home hawakugasi Tena ,unakuwa na access ya kurudi home hata usiku maana sio mtoto Tena ...
Sasa wewe mtoto wa 98 unashabikia arsenal Kwa sababu ipi hasa maana Toka unazaliwa na hapa ulipo hakuna sababu ya kuishabikia arsenal,means miaka yote ya kuangalia mpira hujawahi kutana na arsenal inayojitambua ,labda kama umefuata upepo ,bandela fata upepo ...maana Kwa mtu ambaye anashabikia mpira Kwa kuangalia ,Kwa miaka yako huwezi shabikia arsenal ,labda Chelsea ,man UTD au man city .....

