Arsenal (The Gunners) | Special Thread

DullyJr alikuwa na fujo sasa hivi nguvu zake kahamishia kuisema Yanga na Manara daily baada ya Wydad kufanya yao atahamia rasmi jukwaa la mapishi.

Jackwillpower kaamua ahamie kwenye uhubiri na awekeze mipango yake katika kufungua kanisa timu yake imemchosha.

Will Jr sasa hivi anachambua mambo ya kina Konde boi na Ali kiba humu hutomuona tena.
 
That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sana
hamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake?
reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee
 
Tatizo mnakelele na mdomo sana hafu kutwa kushinda kwenye jukwaa letu kutupigia kelele kuwa ten hag tumepigwa.

Mdomo umewaponza lazima mle spana tu
 
hamis77 umetukera sanaa msimuu huu na chambuzi zako maandazi yan jukwaa la ManU unatuandikia essay kutuponda kisa unaongoza ligi...

ona sasa kiko wap😂Ukija na Id mpya mwandiko wako tunaujua.....


To all arsenal fans excluding Mchambuzi makini wa mpira.... mkiingia sokoni vzr tenaa mybe next time itakuwa bahati yenu... mmepambana sanaa huu msimu... Kauli yenu iendelee Kuwa lengo ni kweNda Yuefa
 

4 points lost in the last two games will be remembered
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…