Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We still have the chance to emerge EPL title winner if we beat City and manage to win the remaining matches. This is possible, Ramsdale needs counseling, his recent blunders are discouraging his teammates and tarnishing his image to Southgate and the fans.
In my honest opinion the best game plan could have been to win against hammers and soton. To either draw or win against liva.

And then to draw against city.

What has happened has pressured the entire Arsenal fanbase and the team as a whole.
 
Arsenal atamaliza ligi akiwa na point 92.. atapoteza mechi nne na kutoka sare mechi tano. Mpaka sasa ameshapoteza mbili na sare tatu. Amebakisha sare mbili na kupoteza mbili.

Sasa kama kuna timu itaweza kuzidi hizo point basi itapewa ubingwa. Timu zinazoweza kusababisha arsenal akafungwa au sare ni Man City ugenini, fulham na liverpool zote za ugenini na brighton nyumbani.

Mashabiki wa arsenal waendelee kutembea kifua mbele.
Naona NZI wengi wanarukaruka hapa lakini hii komenti itaendelea kusimama. Ubingwa wa EPL ni kwa Arsenal msimu huu.

Mabadiliko kidogo ni kwamba sasa hivi lazima tushinde Etihad, Newcastle, Chelsea na Brighton pamoja na zile za Nottingham na Wolves.

Arsenal.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Vile hamis77 anavyo subiri Manchester tufungwe leo ndo ajitokeze.
20230108_124228.jpg
 
Naona NZI wengi wanarukaruka hapa lakini hii komenti itaendelea kusimama. Ubingwa wa EPL ni kwa Arsenal msimu huu.

Mabadiliko kidogo ni kwamba sasa hivi lazima tushinde Etihad, Newcastle, Chelsea na Brighton pamoja na zile za Nottingham na Wolves.

Arsenal.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jiambie mwenyewe, wewe ni KONDOO
 
In my honest opinion the best game plan could have been to win against hammers and soton. To either draw or win against liva.

And then to draw against city.

What has happened has pressured the entire Arsenal fanbase and the team as a whole.

I am watching BHA vs ManU, had we had Caicedo in the squad, we would’ve won titles this season
 
Timu imejaa vilaza ...

Sijui mashabiki wa arsenal wametoka wapi daaa ...

Mwaka wa 20 Sasa zero trophies,sijaona sababu ya mashabiki wa arsenal kuwepo ...

Siamin kama Kuna 20s anashabikia hii timu ,

Almost humu ndani ni wazeee 40+ years ...

Kubishana na wazee ni matumizi mabaya ya akili ...
 
I am watching BHA vs ManU, had we had Caicedo in the squad, we would’ve won titles this season
The board didnt believe if we could win the title.

Had they believed, it wouldn't be an issue to strengthen our bid.
 
Hawa Brighton ni wazembe kwenye finishing. Na defense yao ni shit pia.

Ni kama wamekubali kwenda penati
 
Back
Top Bottom