Ukiachilia hizi shots Arsenal hua tunastruggle kuscore asipokuepo Partey au Saka.
Games tulizopoteza au kustruggle Saliba alikuepo ila Partey hakuepo.
Tulipoteza spot ya 4th msimu uliopita Saliba alikuepo Partey hakuepo.
Tumeshindwa kua threat Saliba alikuepo Saka hakuepo.
Hii kusema Saliba anasaidia build up how?
Kwangu naona ni makosa ya timu nzima kuliko ya kutokuepo Saliba, pasi zinazotolewa, mipira inayodondoshwa unnecessarily, kutokua willing kupiga shots za long distance, mentality mbovu hizi ndiyo zinatucost kwa sasa.
Na idea yako ya kumuweka Partey beki naona haiwezekani, ni bora White arudi CB, RB apelekwe Tierney, LB abaki Zinchenko.