Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Arsenal ushindi ni lzm kama kufaArteta ni JASUSI wa MAN CITY pale Arsenal
Arsenal ushindi ni lzm kama kufaArteta ni JASUSI wa MAN CITY pale Arsenal
Basi mshajifia mbele ya Man CityArsenal ushindi ni lzm kama kufa
Vile style ya Washika Ukuta wa London watakayompea Man City usiku wa Leo.
Hapo ni vile Haaland tu atakavyojichagulia mwenyewe goli afungie nyavu ya juu au ya chiniView attachment 2600529















Mi sijuiMwaka gani iyo mkuu
Noma mkuu, Utani usifike huku!Vile style ya Washika Ukuta wa London watakayompea Man City usiku wa Leo.
Hapo ni vile Haaland tu atakavyojichagulia mwenyewe goli afungie nyavu ya juu au ya chiniView attachment 2600529
Mkicheza mpira mnaweza toboa, ila mkiingia na wazo la kujilinda dk 90 zote usiku utakuwa mrefuKama kushinda isiwe kwavile mpira dunda I will enjoy this kama tutaifanya with style. 1, 2 feints, through balls, curled balls, duels won etc.
Kuna formation niliona juzi city kaicheza ya 3 3 3 1 hii mtu wa kwanza kumuona anaicheza kwenye modern football alikua Bielsa na Leeds yake na alifungwa ile game nafikiri.
So Pep analeta deals za kubadilika kadri muda unavyoenda and it pays bwana ila acha tuone we are not bad, we are mentally unstable ila hatuna ubaya huo.
Ije saa nne sasa
Mkuu hio COYG kirefu chake ni KONYAGI ndio maana madereva wa bodaboda wanalipenda sana hili chama la walevi.Wanangu Gunners fanyeni jambo leo.
#COYG
Arsenal anashinda.