Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I am watching BHA vs ManU, had we had Caicedo in the squad, we would’ve won titles this season

Si kweli, tatizo la arsenal kupoteza points 6 si kwasababu ya our midfielders. Tatizo la arsenal after this 3 games ni mentality! Haya ya caicedo nikutafuta sababu tu
 
images.jpg
images.jpg
 
Ishu ni hii ratiba ya arsenyani hatukatai city kupoteza ila inawekuwa arsenyani wakapoteza zaidi.View attachment 2597157
Nasikia Saliba msimu kwake umeisha, atasubiri msimu ujao
Poleni sana majirani, hii ndio kandanda, hata hivyo nafasi ya pili mmejitahidi sana. Kama mliandaa sherehe muendelee na huo mpango msiache kurusha fataki na kutost champagne
Kazi iliyofanyika ni kubwa sana
 
Naona NZI wengi wanarukaruka hapa lakini hii komenti itaendelea kusimama. Ubingwa wa EPL ni kwa Arsenal msimu huu.

Mabadiliko kidogo ni kwamba sasa hivi lazima tushinde Etihad, Newcastle, Chelsea na Brighton pamoja na zile za Nottingham na Wolves.

Arsenal.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hivi nzi huwa wanafuata nini vile?
 
Pep Guardiola is known to have privately remarked on how much more celebrated his success at Manchester City would have been if it were at Manchester United.

Hiyo ilikuwa January. City imejaa plastic fans. Hapo England tu haina mashabiki hawa waliopo huku ni glory hunter tu.
Cry more
 
Kipindi hicho ulikuwa hujaanza kushabikia mpira uwongo!!
2015 nakumbuka nilikuwa form 5 ,tunacheki UEFA kipindi hicho nakumbuka man city tulikuwa tunaishia round ya 16 ,Barcelona katutoa ....

Joe hart ni bonge la shot stopper kipindi Hiko ...

Frank lampard alikuwa ze cityzen ....

hakukuwa na namna yeyote ya shabikia wa arsenal kuwepo ..

Kiufupi mashabiki wa arsenal ni wa enzi za kina Henry ,2003 huko ,ambapo sisi tulikuwa Bado hatujaanza hata la kwanza ....

Ndio maana mpaka Sasa mtaani huwezi Kuta shabiki wa arsenal kijana ....
 
🔨🔨🔨🔨🔨🔨
 
Oya killer unahangaika na hivi vizee humu unajichosha tu.

Wameona katimu kao hakana upepo wa kushindana na city uwanjani kwaiyo walichobakiza ni kuanza kutunanga tu mafans wa city, mtu akishafikia stage hiyo jua anapitia wakati mgumu sana kisoka
Acha wakafie mbele.
 
Back
Top Bottom