Unaona kejeli zako zinajaza wapinzani humu Jukwani?nilikuwa nakuonya usiweke ushabiki chambua football [emoji460]️ na facts ona sasa leo Jukwaa linajazwa na wapinzani bila sababu ya msingi
hamis77 ,wakati naonya ilikuwa naonekana mpinzani ,sometimes niliitwa
ARV milangomitatu na wanaojiita die hard fans haya sasa pamenuka umekimbia ,tulichoambulia ni kuwa champions league but hayo ni mafanikio kwa big team kama Arsenal ambayo season nzima ilikuwa 1st position kwenye league?Acha tuendelee kupokea matusi