Hawa Taito Kunitenda huko Uefa wanaenda kuzurura tu na kutolewa kwenye Group Stage kisha wanarudi zao kucheza Futuhi(Europa)Mataito kontendaz musimu ujao munataka kucheza uefa na hili kosi lenu la wavulana
Hizi Kima zinafikiri jumatano zinacheza na Mbeya City.Watasubiri hadi Yesu anarudi ndipo washinde kombe. Hivi City wanaotarajia kwenda kufufukia kwao ni wale waliowatwanga Bayern kama mbwa mwizi au ni City wa Manzese? Endeeni kujifaraji nyie nyang'au! You never know until you know. Mavie nyie, mbwer Coco! 😀 😀 😀 😀 😀
Timu eti nyota wao Saka alafu wanataka ndooHawa Taito Kunitenda huko Uefa wanaenda kuzurura tu na kutolewa kwenye Group Stage kisha anarudi zake kucheza Futuhi(Europa)
Nimemaliza kufuturu sasa nimetupia uzi wangu wa Arsenal naelekea banda umiza kuangalia mpira mzuri wa Arteta
Habari za nyumbu zimeishia kwa Sevilla
Hizi kima za humu wengi wao ni wale watoto waliolelewa na single mother.Man Utd Fans mnawazidi wapinzani wenu Arsenyau kwa madongo ila Mashabiki wa Arsenyau wana matusi balaa kama waimba singeli.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mwa-City wana kikosi kikubwa sana na uzoefu wa kubeba EPL trophies, kuna wakati wako radhi wazidiwe ball possession ila wapate point 3.Ok Anything can happen ktk hizi mechi nane zilizobaki kwa Man City na pengine Arsenal mnaweza kubeba ubingwa lkn guys Guardiola huwa anaukatili sana kwenye hizi marathon na pengine hili kombe msimu huu ni lake.
Ngeli za maneno, umenikumbusha mbali mkuu! Poleni Sana wakulungwaKama. Saliba na Tomiyasu wasingeumia...Arsenal angekuwa bingwa...
Mfano mzuri ni mechi ya mwisho msimu uliopita, City anapigwa 2 mashabiki wa Liverpool wakaanza kushangilia. Ilivyopigwa comeback wakina Salah wanauliza mashabiki vipi matokeo ya City uwanja mzima mashabiki hawaamini kilichotokea.Wakati tupo kwenye tittle race na liverpool, liverpool ambayo ilikua haidondoshi point hovyo kama nyie, liverpool ambayo ilikuwa na wachezaji ambao wapo matured enough na wanaweza kucheza na kupata matokeo under pressure, akija pale etihad hajawahi kupata pointi 3.
Leo arsenal yenye wachezaji ambao hawawezi kuhimili pressure na wengi hawajiamini ndio mnataka mje kumpiga city ETIHAD?!!
Mpira unadunda ila kwa stages kama hizi, City huwa ni winning machine na wote ni mashahidi, liverpool walikua tishio kuliko nyie lakini waulizeni walivyobaki ulimi nje, point 1 tu iliwashinda kurecover.
Lakini sio mbaya mkipeana matumaini.
Nawasubiri Etihad mniletee kombe langu in pep's voice.
nyie wote ni futuhi material. futuh mnakaangwa yuefa mtaiweza kweliHawa Taito Kunitenda huko Uefa wanaenda kuzurura tu na kutolewa kwenye Group Stage kisha wanarudi zao kucheza Futuhi(Europa)
Arteta anamnyima nafasi ESR anampa mbwia ungaNimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii
Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki
Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing
Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi
Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Ramsdale aletwe bongo apimwe kinyeo tujue kama marinda yapo vizuri
nawashangaa nyie asenyani tangu lini mjieke presha ya kombe nyie n middle team na mnaridhikaga na ii ndo asenyani tunaoijua ile ya miez ilopita ni maigizo2 walikua wakifanya ateta na kikundi chake cha wahuni vijanaMseng Ramsdale mpiga nyeto na yule mtumia madawa msimu ujao wasiwepo hata benchi
Next game turner akae golini, Arteta aache usenge kmmmk