Nilishakwambia nyani haoni kundule.Inaumiza sana mkuu, within a month tunadrop points nyingi kama hii gemu tutapoteza ni dhahiri ubingwa tushaukosa
Hata mm lakn wametuangushaNlkua na matumaini makubwa na team yenu yaani aseno
Sawa mkuu hongera kwa ubingwaNilishakwambia nyani haoni kundule.
Ulikua unasema man city atapoteza si chini ya point 5 nikakuuliza, wewe unaona point atakazopoteza city tu ila atakazopoteza arsenal huzioni?
Haya wewe 6 zimeshatembea wakati city haijulikani ni lini atapoteza hizo tano, naona sasa tutaongea lugha moja.
Man city ni bingwa wako hutaki kashabikie cricket.
Kwamba Arsepimbi ni sawa na jinsi Ke ambayo huwa haieleweki kama hiiCarabao cup out
We don't want small trophy,, we want FA, Europa league and premier league.
FA cup out
Fa not a must to us coz we have won plenty of them,, tunataka Europa league na premier league
Europa league out
Arteta is very intelligent,, he want to focus on winning the premier league and that's the main aim
Premier league now complicated
Our main aim was to play champions league next season ,, we want to focus on top 4...
Yaani naskia raha ndani ya roho
ASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJACarabao cup out
We don't want small trophy,, we want FA, Europa league and premier league.
FA cup out
Fa not a must to us coz we have won plenty of them,, tunataka Europa league na premier league
Europa league out
Arteta is very intelligent,, he want to focus on winning the premier league and that's the main aim
Premier league now complicated
Our main aim was to play champions league next season ,, we want to focus on top 4...
Yaani naskia raha ndani ya roho
Man Utd Fans mnawazidi wapinzani wenu Arsenyau kwa madongo ila Mashabiki wa Arsenyau wana matusi balaa kama waimba singeliArsenyau ni kama pisikali unayoitongoza kwa muda mrefu halafu siku unayoamua kuikatia tamaa ndio siku hiohio inakupigia simu uandae chumba ikakupatie utamu. View attachment 2590842
Arteta ni kocha la dunia, Arsenyani wanakwambia kina Guardiola na Don Carlo wote hua wanachukuaga madesa toka kwa Teta boyTuna imani na Arteta, apewe mkataba wa miaka buku "millennium" kabisa
ishu sio kuumia tu.. sema kikosi ni kifinyu.. ukiwa na wchezaji wale wanaoanza na wanaotokea benchi ambao hwapishani sana viwango.. kujificha kwnye kivuli cha majeruhi ni nadra.Kama. Saliba na Tomiyasu wasingeumia...Arsenal angekuwa bingwa...
Tunaweza kupata kombe la chuma uleteKOMBE PEKEE analoweza kulipata Achenali mwaka huu ni kombe la matarasimu
Wanaweza kuwekewa katika chupa na maji na wakalibeba na kushangilia nalo London nzima
Ila kulipata KOMBE la EPL Mipango pekee itakayosaidia kulipata kombe la EPL ni kuliiba sio vinginevyoView attachment 2595655
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kumbe sio mara yao ya kwanza kuutania ulimwengu?Hii mechi niliisubiri kwa hamu kubwa.
Hautakiwi kuogopa maana ukishabiki timu hiyo hayo ndiyo maisha ya kila siku .Kuna msimu wa Ramsey kwenye peak naTop scorer wenu mliongoza kwa muda mrefu watu tunajua tayari mabingwa kabla ya kunyan'ganywa tonge mdomoni .