Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poleni sana gunners wenzangu.
Binafsi nilishasema simdai Arteta chochote Kwa hapa alipofika.
Suala la ubingwa lilikuwa gumu tangu mwanzoni ila vijana wamejitahidi. Hata hivyo Arsenal wajilaumu wenyewe kwanza Kwa kuchezea fursa
 
Pia ni mjinga Zaidi atakayeamini Arsenal atsshinda game zake zote zilizobaki...

J5 maji na mafuta vitajitenga tupo hapa.
 
Poleni sana gunners wenzangu.
Binafsi nilishasema simdai Arteta chochote Kwa hapa alipofika.
Suala la ubingwa lilikuwa gumu tangu mwanzoni ila vijana wamejitahidi. Hata hivyo Arsenal wajilaumu wenyewe kwanza Kwa kuchezea fursa
😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Arsenal akikosa NDOO niulizwe mimi

Katika mechi zilizobaki kwa city Kuna atakazo win, draw na zingine kupoteza kabisa
SOMA TENA
Ila katika match atakazowin city yenu ni ya kwanza,

Tottenham aliwahi kufanyiwa Roho mbaya na Chelsea kipindi kile Leicester anabeba. Mlondon mwenzake. Subirini hapo...

Hizi kelele zenu kuanzia katikati ya week mtakuwa kama mmefiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…