Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Heheheee uyu jamaa lazima atajinyonga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado nafasi tunayo lolote laweza kutokea mechi 7 nyingi hizo.. nyie pigen makelele ila mnajua bingwa wenu msimu huu ni arsenal.
 
Anavyochambua sasa utadhani timu kweli kumbe ushuzi mtupu, timu haina uefa wala europa yeyote tangu ianzishwe na haina nafasi hiyo mpk mwisho wa dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pia ina miaka zaidi ya 8 haijawahi kuingia kwenye top4 ya Epl.
 
View attachment 2592839
Nyie arsexual semeni ukweli malengo yenu yalikuwa ubingwa au Top 4
Kazi kupiga nyeto tu
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wana jina jipya halafu hata hawasemi!!!!
An asexual person feels little or no sexual attraction, but they may engage in sexual activity.
Asexuality is a sexual orientation like being gay.
 
Hili Jukwaa limevamiwa na Wananchi wenye hasira kali yaani wanashambulia kama vile wanapiga mwizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…