The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
B959DAAWakuu mwenye treni la odds hata 30000 nataka nishushe costa mpya mjini
Code iwe betpawa
KiatuHAALAAAAAND!!!
View attachment 2590899
@hamis77Mashabiki wa Arsenal wanapita kwenye uzi wao kama wanaaga maiti vile
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wakuu imetosha wasameheni😂@hamis77
Sijawahi kufanya hii mambo, nimejaribu Mpawa kwa code yako hii. Imeniambia maximum stake ni 4,000. Nimeweka imeniambia nikishinda no 38M ngoja nione.B959DAA
Hawa si wakusamehe hata kidogo ni wakupiga na ikibidi kufukia kabisa.Wakuu imetosha wasameheni[emoji23]
Mashabiki wa Arsenane kweli waoga wote wamekimbia uzi.
Tujikumbushe [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu city aliyecheza Kama manjesta pale emirate
Tutamfanya hamna hapo kwake
Uzuri kimahesabu tunahitaji draw 2 tu ,Moja against yeye city
Nyingine na kiande yeyote
Uwezo tunao Nia tunayo
Kiukweli mechi vs Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa inatuumiza kichwa
Hawa wengine Wana mpira gani wakutushambulia Sana
Mtu anakaa kabisa anasema mna mech ngumu na Newcastle, Chelsea ,
Huyu alikuwa na mashiko kdg.Huu ubingwa msimu huu sijui............ City moto anao mpelekea Leicester si wakitoto.
Muone huyu kima [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zinny Ni muhimu kuliko mchezaji yeyote kwa muono wangu, ndiye anafanya maamuzi magumu ya kuitoa timu chini kwenda juu kwa kuchukua Risk kubwa sababu ya uwezo wake
Kwa mechi tatu za mwisho nilizomuona Liverpool , kazi anayo aisee
Kwanza Arsenal Sasa hivi hawakubali kabisa ukae na mpira , ndio maana Ni timu Moja tu ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kutu dominate Tena 2nd half tayari tuna matokeo ,vs Brighton away .
Wengine wote Ni kuwapakisha Basi