Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pole sana.
 
Aliesababisha penalty alikua Nani?
Tatizo hujajua kama hii kitu huwa ipo organized hata kabla ya mechi. Mpigaji anakuwa tayari amepangwa kwamba atapiga flani endapo zitatokea penalty. Kwani hata mechi zingine nan huwa anapiga? Ni huyohuyo ila Leo bahati tu haikuwa kwake
 
Bukayo Saka ndio kaiuza Arsenal leo sijui ameingia anawaza nini
 
Ubingwa ni mbio ndefu,, ilikuwa ni lazima mzurure tu
 
Kuna muda ukifika ,arteta hana msaada Tena ,ila maturity ya wachezaji ndio inaamua ....

Game kama hizi za pressure kuziamua kama huna experienced player ambao wako mature ,hata kocha atumie malaika kutoa maelezo ,.....
 
Ubingwa ni mbio ndefu,, ilikuwa ni lazima madogo mzurure tu
 
Bukayo Saka ndio kaiuza Arsenal leo sijui ameingia anawaza nini
In case of penalty sidhani kama anapaswa kulaumiwa. He's a human being, not every time he'll be perfect.. remember the moments when he did better and you enjoyed his efforts... Why today? Inatokeaga tu mkuu. Cha kulaumu ni form nzima na concentoya arsenal kwa ujumla kushindwa kulinda kile walichonacho, basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…