Kwapa lenyewe hamjalifanyia usafi, em tulieni kwanza nafasi ya piliAcha uchawi Mkuu this is our time kuinua kwapa.
Labda kombe la hamis77Kwa Arsenal hii tupen kombe letu mapema tu
Usinambieeeeeeeeeeeeeeeeeee
Punguza mihemkoTunamtaka Man City hata sshv maana Chelsea kashajifia
JESUS KASHINDIKANA
Mjinga ameshajijuaNiliwaambia msibishane na wajinga wajinga hawajui kitu
Tutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG
WachaaaaThis could be a long afternoon for westham
Kipara yupi unamuongelea hapa computerarsenal Guardiola au ETH? Maana hata kipara wetu TEN HAG bado yuko kwenye makombe matatu.Arsenal alitolewa Carabao cup ikaja excuse kombe halina impact, tukatolewa FA cup ikaja excuse tumelibeba sana,tukatolewa Europa ikaja excuse ya kuwa tunajipanga na Premier league trophy, now tumepoteza focus sijui excuse itakuwa ni nini, I don't know
Huku Kipara yupo Champions league, FA na Premier league yake wala haringi anabutua tu watu goal 3 na kuendelea huku sisi ambao tupo na Premier league pekee tunabomolewa na wapinzani
C tulikubaliana tucheze UCL msimu ujao tuu, mambo ya ubingwa yametoka wapi tena mkuu.? πArsenal alitolewa Carabao cup ikaja excuse kombe halina impact, tukatolewa FA cup ikaja excuse tumelibeba sana,tukatolewa Europa ikaja excuse ya kuwa tunajipanga na Premier league trophy, now tumepoteza focus sijui excuse itakuwa ni nini, I don't know
Huku Kipara yupo Champions league, FA na Premier league yake wala haringi anabutua tu watu goal 3 na kuendelea huku sisi ambao tupo na Premier league pekee tunabomolewa na wapinzani
"Zinchenko"Zinny ndio nani
Huyo kipara wako anacheza UCL.?Kipara yupi unamuongelea hapa computerarsenal Guardiola au ETH? Maana hata kipara wetu TEN HAG bado yuko kwenye makombe matatu.View attachment 2590113
C tulikubaliana tucheze UCL msimu ujao tuu, mambo ya ubingwa yametoka wapi tena mkuu.?
Tena match 2 in a rowUbingwa tuwaachie walio serious
Unaongoza bao 2, kifala fala wanachomoa
Bado hatuna mentality ya ku handle pressure.
Pole mkuu Montserrat umeongea kwa uchungu sana utadhani hicho kitimu ni cha babaako.Itachukua miaka mwingi kupata nafasi kama hii, halafu tunavuruga mwishoni