Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

JESUS nae leo anakuja sana chini imekua too much sana hata kama tunacheza positional play lakini akija sana chini anaiharibu shape ya timu,dakika 15 za mwisho timu imecheza chini sana.hii mechi Nafikiri Georginho inamfaa zaidi pale kati kuliko partey na baadae aingie Nketiah tu astick pale juu
Point,ila jesus anashuka chini sana kutokana na kucosekana kwa game control kutoka kwa shaka na kapten ode
 
Aseno supporters [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20230416_163130.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom