Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Umenena vema Mkuu, bongo hakuna ushabiki ni mikelele tu!
 
ukiweka man u na jiwe mimi nashabikia jiwe.
barca hawawezi kuipiga gunners wakawaacha man u.
patamu hapo.
 
Waungawana nipo porini game inaanza saa ngapi kwa saa za kibongo
 
Mimi nataka Timu inayosifika kwa kucheza mpira vizuri duniani ishinde. "Barcelona"
 
Man Utd ni vibonde wa arsenal? Wewe umeanza kuangalia mpira mpira mwezi uliopita?
 
Mie leo niko MANU (sijasilimu lakini bado GUNNERS wa kufa na kuzikana). Nashangilia MANU kwa sababu katika mechi za kama mwezi mmoja za timu zote hizo mbili ambazo nilibahatika kuziona I was more impressed by MANU's entertaining and attacking football as compared to BARCA's wrestling football. Hopefully they (MANU) will be able to display that type of football one more time in order clinch UEFA CUP.

 

shangilieni Barca na mjitahidi kufika fainali ya uefa angalau msimu mwingine!!..
 
shangilieni Barca na mjitahidi kufika fainali ya uefa angalau msimu mwingine!!..


BJ tuko timu moja leo nimeshatia uzi wangu mwekundu (kwa leo tu hahahahah lol!) kuwafagilia. Naomba msiniangushe na kuniharibia weekend yangu.
 
BJ tuko timu moja leo nimeshatia uzi wangu mwekundu (kwa leo tu hahahahah lol!) kuwafagilia. Naomba msiniangushe na kuniharibia weekend yangu.

aah BAK, I trust for the best too!!..thanks kwa support, you're a tru f/ball fan!!!..nimewasha hadi red candles, chilled red wine pia uzi wangu red nimevaa....Kaandunje Messi kale,mmh macho yangu yako kwake!!he he
Enjoy the match as I hope itakuwa very entertaining.
 
Reactions: BAK
Toka lini shabiki akahama timu? au ndio kudandia gari kwa mbele! :nono:
 
Mimi leo nashabikia Man Utd.......Hawa Barca siwapendi hata kidogo,ni wapinzani wangu wakubwa kule La Liga.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…