verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Nyumbu akili zao zipo makalioniNa hapo Ni Sare
Akili za Nyumbu walijua sisi Ni Kama wao waliopigwa 7-0
Kama ya Yanga ila ya moto aka 🔥 fire..... just kidding.......Huu uzi pia sio mbaya una unyama flani
Ila third kit ya season hii ni hatari na nusu View attachment 2584334
Nyie kweli misukule, si ndio nyie mlituaminisha game ngumu pekee ni brighton na newcadtle? Leo baada ya kupakishwa basi ndio mnajua Anfield pagumu.Unajua me nashangaa sana ... watu wanavyoibeza hii arsenal.
Ipo hiv ... kila timu ilikuw imebakisha mechi tisa kuelekea mwisho wa msimu. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa miongoni mwa mechi ngumu kwa arsenal ilikuwa ni ya liver. Hasa ukizingatia mechi inapigwa Anfield. Ile mechi laiti kama ingekuwa inapigwa emirates arsenal alikuwa ameshashinda kabla ya mechi
Katika mechi nilizokuwa najua arsenal atapotezani dhidi ya liver tena na ndo mechi ngumu kuliko zote alizokuwa amebakisha arsenal. Yawezekana man city asipoteze mechi yoyote kati ya zilizobaki.
Na arsrnal nia yake kubwa ilikuwa asipoteze mechi yoyote kati ya zote 10 zilizokuwa zimebaki.
Naona hili wazi kabisa linaenda kutimia. Kuna mtu nilimwambia kuwa kati ya big six zote hakuna atakayechomoka Anfield.
Arsenal inabidi washukuru kuondoka na point Anfield.
Kombe bado lipo mikononi kwa arsenal.
Mtu akikuripoti unapigwa ban coz hawaencourage hii empty post
Tunakumbushana tu jamani Mara ya mwisho arsenal kuchukua ubingwa wa Epl bakhresa alikua hana smartphone.
Umeandika kinyongeeeee Labyrinth 84 Ha ha haaaaaaaaaaaaaTulikuwa 2:0 ahead , xhaka panic sijuiii alikua anazileta za nini wakati timu inaongoza tayariii. Huyu refa wa leo nae sijuii ameacha gemu ichezeke ki ubabe sana mara amezingua sana!!
Sub ya zincheko ilitakiwa ifanyike kabla hata goli halijarudii dk ya 75-80 huko ukizingatia tierney ni bora sana kwenye defense way, huyu kiwior ilikua haina haja ya kuingia.
The way tumetoka 2:0 up to2:2 daah hii gemu ilikua tayariii tushaimaliza panic baadhi za wachezaji wetu hasa xhaka zimefanya game kuisha hivi maana toka muda ule mpira ulikua haukaiii kabisa kwetu , duels nyingi tumepoteza, pasi zikawa hazifikiii.
From 2:0 to 2:2 hii ndo imeniuma zaidiii .
Yaani niipende timu ambayo hainunui wachezaji wa maana? Kuna haja ya kupimwa akili kijana.Ukiangalia kikosi chetu hakuna mchezaji alienunuliwa kwa zaidi ya £50M, kuna kenge kikosi chao cha £600M wanapambania kushuka daraja huko
Hii ndio sababu pekee inayofanya watu waichukie hii timuView attachment 2584211
Kwenye Jersey hamjawahi kukosea kama Nigeria vile. Ila sasaHuu uzi pia sio mbaya una unyama flani
Ila third kit ya season hii ni hatari na nusu View attachment 2584334
Ndo hawahawa ajali kazinHawa wachezaji wa mafungu ndiyo mnataka wakacheze Champions League!?View attachment 2582933
•Mtu akikuripoti unapigwa ban coz hawaencourage hii empty post
Bayern walichobugi ni kupenda wachezaji wa beii chee huyu kipa siyo wa level yao
mkuu unaota amka utajinyea hamna mchezaji yoyote wa ku compete ucl hata mmoja kupewa zinchenko na Jesus man city so wajingaMan city hawana kiwango kile cha kuizid arsenal. Na hilo Pep alilijua hilo na ndo mana alikuja na game plan yake pale Emirates. Mechi ya kwanza arsenal alikuwa akihitaji point 3 kuliko man city. Lakini hii game man city ndo mwenye uhitaji zaidi wa ponit 3 kuliko arsenal