Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,494
- 235,183
Waambie ukweli wenzio ..Jamaa anatutisha but the real truth huu ndio ukweli wa Kipara hanaga mzaha wana Gunners wenzangu,players na kocha waondoe presha na wawe very serious muda huu,tumekosa FA,Carabao na Europa tukasema tunaweka nguvu kwenye EPL ili tuwe na match chache so kwa sasa ni no excuse tunahitaji EPL liende kabatini Emirates[emoji120][emoji120]View attachment 2583580
Tukisema sisi kuwa kipara hana utani wanatuona haters.
Msipochanga karata zenu vizuri ndo basi tena.
Mechi zilizobaki zote mshinde,ila Ile dhidi ya kipara hesabuni maumivu .
Hamuwezi kumfunga yule baba kwake,tena mechi za mwishoni hivi.