Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man city hawana kiwango kile cha kuizid arsenal. Na hilo Pep alilijua hilo na ndo mana alikuja na game plan yake pale Emirates. Mechi ya kwanza arsenal alikuwa akihitaji point 3 kuliko man city. Lakini hii game man city ndo mwenye uhitaji zaidi wa ponit 3 kuliko arsenal
mkuu unaota amka utajinyea hamna mchezaji yoyote wa ku compete ucl hata mmoja kupewa zinchenko na Jesus man city so wajinga
 
Bayern kuanzia msimu uliopita wamekua hawana defense ya kuzuia magoli hata ushindi siku hizi hawaupati na clean sheet.
Kisha akaumia Neuer wakamchukua Sommer na trend ikaendelea.

Bayern anaweza akaja sokoni na 60M ila akaondoka na best LW, best CM, best CB, exciting prospect, a potential ballon d'or winner na hiyo hiyo 60M. Pia mjerumani au mchezaji yeyote anayechezea Bundes liga akitakiwa na Bayern kukataa hua ngumu. Wakina Reus waliweza ila Lewandowski alishindwa.

Anyway, wings za Bayern jana zilikua na shida. Makocha waliopita walikua hawamuanzishi Coman badala yake anaingia sub namba yake alikua anakaa Gnabry. Recent kuanzia kwa Julian nikaona anagewa sana number but Coman siyo lethal finisher ana pace na skills za kutosha kutengeneza nafasi lakini huwezi muamini kila siku akupe magoli.

Halafu kuna huyu Sane, jana alikua mchoyo hata sehemu hazina ulazima. Juzi niliona meme mashabiki wa City wanamuita Zinchenko Agent Zinny natarajia na kwa Sane iwe hivyo soon.

Game plan ya City was on top 3 2 4 1. 2 wakiwa Stones na Rodri, Stones ni CB na ana pace karibiana na Coman so mechi ya jana Pep aliweka CB wanne na Rodri na Gundogan ni wakabaji very flawless so he bolted his security well enough kiasi kwamba Bayern hata shots za nje ya box zilikua haziwezekani.

And then City ikaacha aggressive pressing na kurely kwenye swarming na kuintercept passes. Bayern akawa forced kumiliki mpira ila watu wakiupata wanakuja na purposive movements.

Ushindi wa 3 bila kwa City unamaanisha kwamba hawana tena presha ambayo wangekua nayo kama wangefungwa au wangeshinda 1 bila. So hata kwenye ligi wanakuja wakiwa relaxed tofauti na sisi. Saa hii mchecheto wetu ni kutanua pengo la points tutaanza na Hammers kisha wanakuja wao.

Pep ametumia formations zaidi ya moja msimu huu, sisi pia alituwekea mabeki 3 kisha tukawa forced kumiliki mpira. While mtu mwenye mabeki 3 yeye ndiye anaweza kumiliki mpira kukuzidi, nafikiri this time Pep hatostress ataweka kikosi chake cha siku zote na atacheza 4 3 3.

Baadhi ya mashabiki waliona sawa kutolewa mashindano yote kwakua ilimaanisha kuwekeza zaidi kwenye ligi. Binafsi niliamini tuna chansi Europa kuliko kwenye ligi now that we are here there is nowhere to go but up nothing to do but win.

How? We'll see.
 
"Baadhi ya mashabiki waliona sawa kutolewa mashindano yote kwakua ilimaanisha kuwekeza zaidi kwenye ligi. Binafsi niliamini tuna chansi Europa kuliko kwenye ligi"

Arsenyau banaaa acheni kudanganyana, nyinyi hamkua na chance kwenye Carabao wala FA sembuse hio Europa?
Pamoja na kuongoza ligi msimu mzima ila hizi kima tayari zimeshajikatia tamaa ya kuchukua Epl baada kuona Pep anavyowapumulia kisogoni.

#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
 
Wewe nyumbulugusi Arsenal malengo yake ni top four, Ubingwa umeamua kujileta wenyewe na hatuwezi kuukataa.

Arsenal inaweza kumfunga Manshit kwa sababu ni bora na ndio maana iko juu kwenye msimamo, kuwa juu kwenye msimamo huwa haiji kwa bahati mbaya.
 
Rekodi ya Man City katika mashindano yote mwaka huu wakiwa nyumbani:

Michezo: 10
Ushindi: 10
Mabao ya kufunga: 37
Mabao ya kufungwa: 4
Clean sheets: 7

Sasa wewe Kima jichanganye tu saizi kwenda pale Etihad na matumaini yako fake ya kumfunga kipara then utakuja kutusimulia kitakacho kupata.

#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
tapatalk_-1783041148_512x653.jpg
 
Ni juzi tu haters walikua wanasema 'city msimu huu haipo kwenye form yake'

Leo wanakuja na kauli ya 'hamuwezi kubattle na city ni ya moto'

Hapo ndo unaelewa kua wengine hawatumii kichwa kufikiria
 
Arsenal ndiyo timu inaongoza kwa kukusanya point nyingi ikiwa nyumbani.

Na ndiyo inaongoza kukusanya pointi nyingi ikiwa ugenini.
 
Ni juzi tu haters walikua wanasema 'city msimu huu haipo kwenye form yake'

Leo wanakuja na kauli ya 'hamuwezi kubattle na city ni ya moto'

Hapo ndo unaelewa kua wengine hawatumii kichwa kufikiria
amna mnachoweza mtaburuzwa na mtaangukia pua
 
Back
Top Bottom