Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndivyo ambavyo mnajazana ujinga hivi?

Kama historia ndio inacheza basi nikwambie tu huyo lampard si kitu kwa City.

LAMPARD VS CITY
1 win
1 draw
3 losses

Lete hiyo historia nzuri ya lampard kwa city.
Ungeweza kuweka hizo stats bila kutumia maneno ya kuudhi kenge maji weee
 
Hajashusha timu kwa kupenda bali alizidiwa maarifa na Klopp hasa baada ya kuingia Alcantara.
Arsenal mnashindwa kumkubali mpinzani kuwa amewazidi.
Tatizo la arsenal fans they are so biased kiasi kwamba wanataka kupindisha facts ziendane na mapenzi yao.
Kwenye mpira ukishakuwa totally outsmarted hauna ujanja zaidi ya kurudi nyuma automatically, wao wanakwambia arteta kawarudisha nyuma as if walikuwa na ubavu wa kubattle na liverpool.

They can't admitt that they where totally outsmarted in every angle.
 
Wana Arsenal tulizeni munkari. Hawa maharamia wavamizi wasitutoe mchezoni. Man city tutamfunga. Tuombe uzima, na wachezaji wawe fit. Huyo chelsea na wengine sio wa kuwahesabia..
 
Jamaa anatutisha but the real truth huu ndio ukweli wa Kipara hanaga mzaha wana Gunners wenzangu,players na kocha waondoe presha na wawe very serious muda huu,tumekosa FA,Carabao na Europa tukasema tunaweka nguvu kwenye EPL ili tuwe na match chache so kwa sasa ni no excuse tunahitaji EPL liende kabatini Emirates
 
Hii kauli iogopeni Arsenal,ni sentence yenye maneno machache sana lakini waulizeni Liverkuu wa kideli,walifukuza upepo hadi filimbi ya mwisho upara anavuna point baada ya point tu.
 
Kupambania UCL trophy ni kutumia nafasi kama hizi, msimu ujao experience itakua ya kutosha

Hii timu itaenda kudominate European football kwa miaka 10+View attachment 2582602
Tukisema baadhi ya mashabiki wa Arsenal akili ziko fyatu huwa mnatuona sisi wakorofi.

Ona huyu sasa alichoandika.

Unaijua UCL wewe?
Muulize Wenger au Pep watakupa picha kamili.
 
Inatisha lakini msiogope.

Hivi Arsenal mnajua timu mnayo kimbizana nayo lakini?
 
Tukisema baadhi ya mashabiki wa Arsenal akili ziko fyatu huwa mnatuona sisi wakorofi.

Ona huyu sasa alichoandika.

Unaijua UCL wewe?
Muulize Wenger au Pep watakupa picha kamili.
Kwamba wenger na kushiriki kote uefa bado team yake ilikua haina experience ya kutosha kudominate europian football!!

mkuu hili jukwaa lina wehu sio bure.
 
Jipeni moyo zinchenko na Jesus tumewauza kwakuwa bado watoto hamtoamini tunanyanyua makwapa kuna timu hata ziki kuacha magori huwapati ila sio aseno
Zincheko hakuna beki pale, yule anafaa kwa kuonea vibonde wa ligi tu ni bora tulimuuza.

Imagine kesho tuko na bayern af tuwe na beki zincheko amkabe gnabry au coman, watu wanajipigia tu.

Lakini hum wanakwambia watadominate uropean football kwa miaka 10+ kwa ule uchochoro zinchenko.
 
Msimu huu asipobeba UEFA atalia hatoamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…