Ebanae maisha at the bottom of the league mzozo mtupu kama una matatizo ya moyo, Ian Hollway anasema hawakushuka daraja kwa sababu wamefungwa leo bali kwa kushindwa mechi nyingine. Nimemind jamaa kushuka daraja SAF alitakiwa awape droo.

Wasalaam watani...sijapata hongera zangu nazostaili ila mm sina budi kuwashukuru kwa kutushindikiza na nyie kuishia nafasi ya nne, mmejitaidi sanaaaa...niliwakadiria nafasi ya 8 msimuu uu ukiisha..asante kwa kutupa kampan.
Umepotea sana bora ushabikie bolton au everton,ukishabikia arsenal unawezakufa kwa presha maaana mtaanza kwa kutafuta kombe na mwishoe mtatafuta nafasi ya 4,kama vipi karibu man.u////
umepotea sana bora ushabikie bolton au everton,ukishabikia arsenal unawezakufa kwa presha maaana mtaanza kwa kutafuta kombe na mwishoe mtatafuta nafasi ya 4,kama vipi karibu man.u////