Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na kwenye hiz mech10 game1 ndo ngumu na hii mech arsenal akipata point3 kwa man city bac ubingwa utakuwa upo mikonon mwao
Man City ikifungwa na Southampton leo, Arsenal kesho itaelekea kuchukua kombe ikiwa itaifunga Liverpool pale Anfield.

Maana Arsenal itakuwa yaongoza kwa points 11.
 
FACT tupo nafasi ya 1 for almost season nzima then tumalize second place without FA,Carabao cup au Europa medal then tuone tumeachive kitu no way kwa sasa EPL ni lazima
Malengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao

Ni wachache ndio tuliona toka pre season kwa Gear hii ya UCL tutapigania ubingwa so relax

Mechi ya kesho hata tukipoteza kwa tunavyocheza tuna uwezo wakushinda mechi zijazo hata 7 mfululizo

Binafsi naamini tukishinda kesho shughuli imeisha , huyo city nimekuwa nikisema tunaenda kummaliza kwake

Hata haters wote wamekaa wanasubiri tukishinda kesho wata salenda ,
 
Mac Allister kuchukua WC kumempa confidence naona yuko relaxed na anacheza vizuri kuliko kawaida
 
hamis77

Ulitabiri vizuri kwamba united atagombea europa ila ukasahau Spurs ndiye anatakiwa kuhakikisha hilo. Spurs ni vyura
Hiyo kazi nilimpa kitambo tu Brighton ,Spurs Ni wapuuzi, muda mrefu tu wangeshakuwa nafasi ya 4 , manjesta angekuwa anafait kucheza Europa

Habari mbaya huenda wakamkosa rashford muda mrefu, had mechi za mwisho watakuwa katikati ya kugombea Europa au UCL
 
Brighton akikaza vzr anaingia top 4 ,

Beautiful football

Wanakosa Quality tu, Kuna mechi Kama 3 hivi wangekuwa wameshinda ila wakasare ,leo tungekuwa tunazungumza wapo top 4
 
Ni kweli unavyosema ila kwa sasa no excuse katolewa FA ,Carabao na Europa league tuachage mentality za kinyonge ndizo miaka nenda rudi nyuma hatuna Big trophies kama EPL ,mpinzani wake yupo Champions league, FA ,sisi tuna EPL pekee why tuone second place ni sehemu ya kuridhika na still tupo top hadi sasa?kwa sasa tulipo tukishindwa kubeba EPL na still 9 games zimebaki itakuwa ni tumefeli vibaya mno angalau hata tungeshika nafasi ya 3, kuliko mwaka mzima tuwe namba 1 then tumalize second place without FA,Carabao au Europa league medal !
Mbebe tuu mmepiga mpira sana mwaka huu
 
Nafasi ya pili!!!???

Kama shabiki wa Arsenal na kocha wenu naamini malengo yenu yalishabadilika na kuwa "lazima tushinde ligi" chini ya hapo mtakuwa mmezingua sana.

Arsenal mkishindwa kubeba taji la EPL msimu huu sioni msimu ujao mkipata tena nafasi kama hii.
Can you tell the future brother?
 
Malengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao

Ni wachache ndio tuliona toka pre season kwa Gear hii ya UCL tutapigania ubingwa so relax

Mechi ya kesho hata tukipoteza kwa tunavyocheza tuna uwezo wakushinda mechi zijazo hata 7 mfululizo

Binafsi naamini tukishinda kesho shughuli imeisha , huyo city nimekuwa nikisema tunaenda kummaliza kwake

Hata haters wote wamekaa wanasubiri tukishinda kesho wata salenda ,
Nakubaliana na wewe YES malengo yalikuwa ni kwenda CHAMPIONS LEAGUE na tumequalify tayari ,but kwa sasa EPL ni lazima sababu hakuna excuse uongoze season nzima then umalize second place,tukitoa draw Anfield na Etihad itakuwa ni jambo kubwa la kwenda kuwa EPL winners licha pia tukishinda itakuwa ni jambo la maana zaidi but sio kufungwa game zote 2,tunaelekea mwisho let's wait!
 
Pamoja na kuwa anfield bado wanaonekana ni underdog
 

Attachments

  • Screenshot_20230408-200715_1.jpg
    Screenshot_20230408-200715_1.jpg
    8.8 KB · Views: 9
Midtable team player uyo
Mimi nakuambia huyo ni mentality tuu ikibadilishwa ajiamini Kuna yule gnabri kabla hajauzwa niliona Kuna kitu anacho siku anauzwa niliumia Sana na baadae akaenda kufanyamakubwa Bayern kwahio wakati mwingine mwalimu anatakiwa kujaribu huenda akpata mtu sahihi bila kutumia mapaundi mengi akati mtu unaye

Naamini kijana anaweza
 
Back
Top Bottom