Nimependa jibu la artetaReporter:
You have four attackers in good form – Saka, Martinelli, Jesus, Trossard…
Arteta -
"And Reiss!"
View attachment 2580485




Ni kweli. On paper, mechi zetu ni ngumu kuliko za CityNilikuwa napitia Social media mbalimbali , mashabiki wengi hasa manjesta wamekaa wanatuombea mabaya wakiwa wanatembea na fixtures yetu wanadai Ni ngumu Sana hatuwezi kutoboa
Huenda tukishinda kesho tutarajie kusikia wengi wakifa kwa presha
". ..wapo pale Kwa ajili ya kufanya makosa.."Battle ya kiungo sina shaka, uwepo wa Partey ndo kila kitu.. nina uhakika tutachuana.
Kule mbele Jesus akiendeleza moto wake aliouwasha kwenye mechi iliyopita kwa kuwa aggressive na kupress defence ya Liverpool vizuri, basi hatutakosa chochote kitu mana kuanzia kwa Allison na zile beki VVD/Matip wapo pale kwa ajili ya kufanya makosa. Beki pekee wa kufuta makosa yao ni Konate.
Kenge in advance😁😄😂View attachment 2580346Arse88 mkibeba ubingwa niitwe kenge, nimekaa pale
Nimependa jibu la Arteta 👏👏Reporter:
You have four attackers in good form – Saka, Martinelli, Jesus, Trossard…
Arteta -
"And Reiss!"
View attachment 2580485
Chambers yupo aston villaHuyo Rob holding huwa simwamin sawa na yule Chambers cjui yuko wapi ck hz
Ni kweli. On paper, mechi zetu ni ngumu kuliko za City
Kuna ukomavu kikosi chetu haina. Games against Everton na Soton zile ndiyo games ilitakiwa zitufikishe mahaliMpaka hapa simdai Arteta. Naona kama ame overachieve kulingana na misimu iliyopita. Hata tukiwa wa pili siyo wengi watachukizwa.
Hata hivyo, ingali nafasi ya kwanza ipo up for grabs, why not grab it tunyanyue kwapa tutambe mtaani
Wakaze tu hivyo hivyo. Games Tisa siyo nyingi ila siyo rahisi. Wakomae tu kushinda huwezi jua mpinzani anaweza kudrop points. Mara paap, unatangazwa bingwa huku una mechi 3-4 mkononi ...Kuna ukomavu kikosi chetu haina. Games against Everton na Soton zile ndiyo games ilitakiwa zitufikishe mahali
Kuna siku mbaya kazini mkuu, hata Ile game na Brentford.Kuna ukomavu kikosi chetu haina. Games against Everton na Soton zile ndiyo games ilitakiwa zitufikishe mahali