Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukimpiga Liverpool for me shughuli itakuwa imeishia hapo

Tutahitaji kwenda kutangazia ubingwa etihad

Kwa Mpira tuliocheza Emirates vs City Basi tunaenda kumuua pale pale kwake
Hivi unadhani kabisa tutaenda etihad na kupata ushindi?

Anyway, hongereni gunners, game by game wakuu!!
 
Moyo unaenda mbio nikiona game za April zinazokuja kuanzia next week, Manchester City ana experience sana na game hizi ,kipara hajawahi kuanguka kwa marathon za namna hii anaweza akaboronga mwanzoni ila kwa game hizi za marathonje tutatoboa?Mungu atusaidie
Tuna kikosi na team nzuri sana safari hii,mentality ishawaingia hadi vijana wadogo tulionao uwepo wa Jorginho,zinny,jesus na Arteta mwenyewe sina wasiwasi na game zilizobaki, uzur tuna game week after week tofauti na City katikat ya week wana game.
 
Liverpool vs arsenal

Man city vs arsenal

Newcastle vs arsenal

Chelsea vs arsenal

Lazima kitaelewaka tu hizo ndio big game Kwa arsenal
 
Kwa upana wa kikosi cha City anamudu hizo games zote bila kuchosha kikosi.

Hii hoja ya City ana game wapi na wapi ni ya hovyo tukiikumbatia
 
Moyo unaenda mbio nikiona game za April zinazokuja kuanzia next week, Manchester City ana experience sana na game hizi ,kipara hajawahi kuanguka kwa marathon za namna hii anaweza akaboronga mwanzoni ila kwa game hizi za marathonje tutatoboa?Mungu atusaidie
Ndio maana tukaleta Zinny na Jesus wenye experience

Angalia jana first half timu ilikua haieleweki inacheza kitu gani ila Gabby kachukua mpira kaingia nao kwenye box na kusababisha penati

Tunapoelekea huenda tusiwe tunacheza kwa jinsi tulivyozoea ila muhimu itakua alama tatu
 
Yaani Timu yetu inavyocheza inakubidi tu upaki Basi usubiri miujiza kama alivyofanya City

Manjesta tulimpakisha Basi karibu nusu saa (dakika 30) sio Kama alipenda

Sasa nashangaa mtu anasema tuna gemu ngumu anamuweka Chelsea , Newcastle (huyu ambaye anakaa nyuma muda mwingi) ,

Liverpool anachotisha Sasa Ni jina tu, Timu yako ikiweza kufanya buildup vzr kwa usahihi Against Liverpool una asilimia 90 ya kupata Goli

Kaangalieni mechi Za Liverpool vs Brighton , Liverpool Vs Madrid , Liverpool vs Bournamouth,

Mechi ya Jana Liverpool vs Mancity, kila sekunde Unaona mancity anapata Goli ,

Liverpool vs manjesta alishinda 7-0 ,sababu manjesta Ni timu isiyoweza kufanya buildup kwa usahihi

Record zinaonesha Liverpool ana conceded big chances Sana ,Ni wa 19

IMG_20230402_140854.jpg
 
STRIKERS INSTINCTS

:- Mie nimeondoka na lile bao lake la pili .Ile ndo huwa tunaita tabia ya mshambuliaji.Ni ngumu sana kumfundisha mchezaji.Ni Au unayo au huna

:- Alishuka kidogo kwaajili ya kuunganisha team.Akapiga Pasi kwa Leandro TROSSARD.Tazama alichofanya baada ya kupiga Ile pasi.Alikimbia ndani ya box kwa matumani kwamba Trossard Ile pasi lazima angeipiga ndani.

:-Hakujalisha sana Kwamba Leandro Trossard alikuwa tayari amebanwa na Walinzi wengi wa Leeds united.Bado aliishambulia nafasi ndogo ya Kwenye box na kuweka Imani kubwa kwamba lazima LEANDRO TROSSARD angeipiga Ile pasi.Ile ndo huwa tunaita STRIKERS INSTINCTS

:- LEANDRO TROSSARD ana Assist 7 kwenye Mechi 6 zilizopita za Premier League.Leo amecheza kama Winger Upande wa kulia na Bukayo Saka akapewa sehemu ya kupumzika kidogo. Baadae Leandro Trossard alisogea kwenye False 9 , Gabriel Jesus akapumzika kwasababu ndo anarejea kwenye majeraha. Arteta amesajili mchezaji wa kutoa Solutions kushoto, kulia na katikati kama False 9

:- Kipindi Cha kwanza Arsenal walipata shida kutengeneza nafasi, kwasababu pamoja na umahiri Leandro Trossard,Bado hawezi kutoa kile ambacho Bukayo Saka anatoa kule winga ya kulia.Kwanini?

:- Kwasababu Trossard alikuwa na njia Moja tu kukata kuingia Katikati ya uwanja ambako Leeds United walikuwa Compact sana na 4-3-3. Na Kuna Muda walizuia na watu 5 na Arsenal ilikuwa Haina pasi Katikati ya Mistari (Between the lines).Yani Mbele ya Mabeki na nyuma ya Viungo wa LEEDS UNITED.

:- Arsenal wana Points 72 baada ya mechi 29 ,Mara ya Mwisho Pep Guardiola na Manchester City wamekuwa na Points hizi ni msimu wa 2017/2018.Halafu mtu atakwambia Arsenal ina bahati kuwa hapo..

Note: Chochote anachoweza kufanya Manchester City, Arsenal inaweza kufanya na zaidi KENGE NYIEEEEEE

FT ARSENAL 4-1 LEEDS UNITED

IMG_20230402_142705.jpg
IMG_20230402_142710.jpg
 
It Chelsea uweke hata Brighton, Chelsea watakufa mapema Tena since chini ya goli tatu
Liverpool vs arsenal

Man city vs arsenal

Newcastle vs arsenal

Chelsea vs arsenal

Lazima kitaelewaka tu hizo ndio big game Kwa arsenal
 
Yaani Timu yetu inavyocheza inakubidi tu upaki Basi usubiri miujiza kama alivyofanya City

Manjesta tulimpakisha Basi karibu nusu saa (dakika 30) sio Kama alipenda

Sasa nashangaa mtu anasema tuna gemu ngumu anamuweka Chelsea , Newcastle (huyu ambaye anakaa nyuma muda mwingi) ,

Liverpool anachotisha Sasa Ni jina tu, Timu yako ikiweza kufanya buildup vzr kwa usahihi Against Liverpool una asilimia 90 ya kupata Goli

Kaangalieni mechi Za Liverpool vs Brighton , Liverpool Vs Madrid , Liverpool vs Bournamouth,

Mechi ya Jana Liverpool vs Mancity, kila sekunde Unaona mancity anapata Goli ,

Liverpool vs manjesta alishinda 7-0 ,sababu manjesta Ni timu isiyoweza kufanya buildup kwa usahihi

Record zinaonesha Liverpool ana conceded big chances Sana ,Ni wa 19

View attachment 2574002
Tumewagonga goli 3 hapo Emirates unasema tulikuwa tunavizia

Nyie mliokuwa mnapossess mpira mlipiga shot on target ngapi ?

Yaan arsenal hakuna kitu kingine zaidi ya kipigo game ya Etihad ....

Kama mnategemea point kwetu kazi mnayo kubwa Sana ....
 
Sawa
 
Back
Top Bottom