makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,921
- 104,219
Daahh msimu ujao utakua wa moto sana
Kwa maelezo ya Edu ni kwamba kwenye ile 'process' tupo phase 3/5
Sidhani kama atakuwa na maisha marefu hapo Chelsea kwa contract ya 8 yearsKwaio ni Pepe mwingine au?
Akishuka bei tumbebeSidhani kama atakuwa na maisha marefu hapo Chelsea kwa contract ya 8 yearsinaonyesha pia hana furaha kabisa
Hivi game yetu na city tukipta ata sale kwan kuna ki2 tunapoteza?Kila mtu ashinde mechi zake
City bado atadrop not less than 5 points
Mentality hayupo sawa ukimuangalia ,Ukweli alienda Chelsea kwa kushinikizwa, klabu yake ilitufanyia roho mbaya ArsenalNimetazama Murdryk mara kadhaa, nadhani he wasn’t a right signing for arsenal. Ni mapepe
Zchenko ume mnyima klensheet rasmday leo daaaaa ila point3 muhimu zaidiAaron Ramsdale wins ‘Save of the month’ for March 2023View attachment 2572160
Ni vizuri kushinda tuna uwezo wa kupata point 3Hivi game yetu na city tukipta ata sale kwan kuna ki2 tunapoteza?
Dah! Yani mkuu unakosa kuangalia game ya Arsenal halafu una furaha kabisa.Sijatizama game, ila partey ni mtu mwingine, kwa jinsi anvyocheza anavyonyumbulika jamaa fundi saana, ni mtu sahihi zaidi kwa timu inayotokea chini.
Hiyo game City tunampiga hapo hapo kwakeHivi game yetu na city tukipta ata sale kwan kuna ki2 tunapoteza?
Jamaa naamini ataongeza sharpness ya kufunga kwenye pre-season kabla ya kuanza msimu mpya.Semeni yote mtayosema, ila mentality ya huyu jamaa ni another level
Yani kafanyiwa sub amemaindi maana alikua anasaka hat trick yakeView attachment 2573277
Ndo madhara ya kusajili wachezaji wa YouTube.Nimetazama Murdryk mara kadhaa, nadhani he wasn’t a right signing for arsenal. Ni mapepe
mapema sana kusema ivyo,Wachambuzi humu Arsenal JF walimpa sifa za kutosha kumbe boya tu tupunguze uchambuzi wa sifa nzuri kwa kila player anayehusishwa na Arsenal wengine mazoba tu
Kitu kimoja tu ndo kitatufanya tumfunge City, ni kutumia 1/2 ya kila nafasi tutakayotengeneza na wala sio 1/5 ya nafasi tutakazotengeneza.Hiyo game City tunampiga hapo hapo kwake
Sema huyu Jamaa Since day one, hakuwahi kua na iman na mudryk wala sio kisa hakusajiliwa na Arsenal, anasimamia kile alichokiona kabla hata Chelsea hawajaingilia kati kwenye hilo Deal.mapema sana kusema ivyo,
usiendeshwe na hisia za wivu kisa tulimkosa mudryk, binafsi naona kipaji chake kikiwa dhahiri shahiri sema mazingira tu aliyoyakuta chelsea
Mkuu nipo shambani, game mpaka town, kingine kilichonitia uvivu ni matokeo ya city, nilitgemea liva apate hata suluhu. Ningeenda town kutizama game kwa raha mustarehe.Dah! Yani mkuu unakosa kuangalia game ya Arsenal halafu una furaha kabisa.
Mimi siwezi aisee.. Arsenal kuiona mara moja tu kwa wiki bado naona haitoshi. Natamani niione kila siku!
Nikimaliza kuangalia mechi naweka notification in case kama kuna marudio, naenda YouTube kwenye page ya Arsenal nacheki highlights, Bench cum, In Focus..
Hhm..
Nisipoangalia hii Arsenal itanipa kisukari, mana sio kwa utamu huu!😁